Boss penye kusifia tusifie tu na penyw kukosoa tukosoe, Kwanza hapo kwenye uzi wangu sijamkosoa Mheshimiwa Rais hata kidogo, Isipokuwa nimetoa mapendekezo kwa Team anayoambatana nayo mana Rais hata hahusiki na huo uundaji wa iyo podium[emoji23] [emoji23] [emoji23] mleta mada ni mmoja wa watu ambao hawajawahi kuona zuri kwao kila kitu ni kibaya tu as long as hakijafanywa na upande wake.
ni wale ambao ukikaa wanasema kwa nini amekaa.
ukisimama wanasema kwa nini amesimama.
sasa emu tazama
Sio kwamba mpiga picha ndio alikuwa chini sana!!?Podium haitakiwi imfunike Rais hivyo hata kama ni mfupi walipaswa wampe ya size yake
Wacha watu wafanye kazi zao. Katika swala la usalama hakuna cha kihatarishi kidogo wala kikubwa. Lengo ni kumlinda mkuu.Hao walinzi nao wanazidi mno mda mwingine hadi akiwa ndani ya ikulu utakuta kazungukwa na majemedari kadhaa hivi, had huwa najiuliza mbinu hii ya ulinzi wameikopi wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mleta mada ni mmoja wa watu ambao hawajawahi kuona zuri kwao kila kitu ni kibaya tu as long as hakijafanywa na upande wake.
ni wale ambao ukikaa wanasema kwa nini amekaa.
ukisimama wanasema kwa nini amesimama.
Kaya man Mzee vipi kaya zipoWalichagua yenye hadhi yake
kweli lake mtu halimtapishi!Walichagua yenye hadhi yake
hahaaaaa chaaaaa!!!!!!Masharti ya mganga