Pochi za Menina zimeingia sokoni...!

Pochi za Menina zimeingia sokoni...!

MzaramoTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
1,873
Reaction score
3,096
IMG-20191017-WA0000.jpg
 
Kuna wakati unafika mtu kama Menina anastahili upendo wa Dunia hususan ktk wakat huu ambao anajitahidi kupambana ili Dunia imuamini tena.

Watu kama akina Menina , wanahitaj msaada.

Wakat mwingine ujana, maisha ya kuiga n.k ndo yanawapoteza Hawa wadada .

Lkn iyo bado haitoshi kuwafanya walaumiwe sana nankipa siku kung'ongwa.

Ni bahati mbaya sana, wadada wengi kwasasa wanakutana na wanaume ambao ndio wanawafanya kufikia hatua izo.

Nabaada ya ilo, Kwakua Mwenye kuonekana ndio mkosaji basi Tuhuma zote huangushwa kwa mwanadada.

Binafsi nalipenda sana, SHERIA KALI KUCHUKULIWA KWA MWANAUME.

Hamna mwanamke anayependa kuingiliwa kinyume..., sasa unamuingilia kinyume wewe kwa ushawishi na pombe ulizomnywesha wewe, kisha unamrekodi, unarusha mtandaon kumuadhiri huku wewe umeficha sura.

Kibaya zaidi unasahau huyo unayemfanyia naye anawazazi, anandugu, anabiashara, anakazi n.k

Ni kitendo kibaya sana kwakweli..

Wanaume Tubadilike Mazeee!!!
 
Wacha mawazo finyu
 
Una ushahidi kwamba aliliwa nyuma... Mbona unaleta busara zilizo changanywa na uzandiki
 
Mkuu nakuelewa sana
 
Back
Top Bottom