Pochi za Menina zimeingia sokoni...!

Pochi za Menina zimeingia sokoni...!

Kijana acha ujinga
Kuna wakati unafika mtu kama Menina anastahili upendo wa Dunia hususan ktk wakat huu ambao anajitahidi kupambana ili Dunia imuamini tena.

Watu kama akina Menina , wanahitaj msaada.

Wakat mwingine ujana, maisha ya kuiga n.k ndo yanawapoteza Hawa wadada .

Lkn iyo bado haitoshi kuwafanya walaumiwe sana nankipa siku kung'ongwa.

Ni bahati mbaya sana, wadada wengi kwasasa wanakutana na wanaume ambao ndio wanawafanya kufikia hatua izo.

Nabaada ya ilo, Kwakua Mwenye kuonekana ndio mkosaji basi Tuhuma zote huangushwa kwa mwanadada.

Binafsi nalipenda sana, SHERIA KALI KUCHUKULIWA KWA MWANAUME.

Hamna mwanamke anayependa kuingiliwa kinyume..., sasa unamuingilia kinyume wewe kwa ushawishi na pombe ulizomnywesha wewe, kisha unamrekodi, unarusha mtandaon kumuadhiri huku wewe umeficha sura.

Kibaya zaidi unasahau huyo unayemfanyia naye anawa
Ni kitendo kibaya sana kwakweli..

Wanaum
 
Kibaya zaidi unasahau huyo unayemfanyia naye anawazazi, anandugu, anabiashara, anakazi n.k

Ni kitendo kibaya sana kwakweli..

Wanaume Tubadilike Mazeee!!!
Mkuu huu ndio ukweli ambao wengi hatuupendi lkn katka hali hiyo yupo pia alikuwa naye ambaye huenda kisa cha tatizo lenyewe , japo sio muumini wa neno HAKI ZA WANAWAKE na MFUMO DUME lkn wanaume tunatumia vibaya udume wetu kama mwanamke alivyo hususan hawa walio wengi wanafika hapo kwa sababu ya wanaume aidha kuwa shape vizuri au vibaya.

Huyu binti anahitaji msaada wa kisaikolojia kumsaidia kujua ujinga wake kupitia wanaume wanavyoweza kuharibu future yake
 
Nikweli kabisa mkuu wangu
 
Hivi nyie watu hapo mmejuaje anaigiliwa kinyume na maumbile?
Yaani mtu awe anaingiza mkndn kama anafanya mbele? Ile speed ya jamaa haiwezekani akawa ana M-sodormize

Back
Top Bottom