OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,045
- 114,506
Waziri Mkuu wangu mbona mnakuwa na sababu za ''kubumba'' kuhusu bunge live....mara mseme gharama....mara watu wanapoteza mda wa kazi kuangalia bunge...mnahamisha tu MAGOLI, hamtaki Tundu Lissu, Zitto, Upendo Peneza afunge......Hii mikusanyiko imefanika mida ya kazi na imekusanya pia raia ambao kwa hoja yako walitakiwa kuwa kazini. Mikutano mingine iliruka LIVE kideoni, ambapo kwa hoja yako watazamaji walitakiwa kuwa kazini.................
Siku ya Uzinduzi wa Daraja la Kiga.....April 19, 2015 Ilirushwa LIVE
Miaka 39 ya Kuwatia umaskini watanzania, 6 February 2016.....ilirushwa LIVE
Rais Magufuli akiwa Arusha na akapiga mkutano wa hadhara.....sikumbuki kama ilikuwa LIVE lakini mkusanyiko huu ulifanyika wakati wa kazi...22 January 2016
Hawa ni wanafunzi ambao sio tu busara kuwatumia kisiasa, bali walitakiwa kuwa darasani
Waziri Mkuu hapa ni wewe ukiwa Busega Lamadi, 2 March 2016, Jumatano Mchana kweupeeee
ACHENI CHENGA NYIIIIIIINGI, TUMIENI LUGHA RAHISI KWAMBA HATUTAKI UKAWA WAISEME SERIKALI YETU HADHARANI