Thread zingine bana sasa wewe jinsia gani eti maana umebwabwaja tu
nitoe mimi free mason
Wewe ni s:what:g?
Kabla sijafanya hiyo PM wewe ni mtumiaji wa mbuzi katoliki...
jinsia ni Me....sio Ke... afu muwe mna comment kama watu wenye akili tafadhali..
jinsia ni Me....sio Ke... afu muwe mna comment kama watu wenye akili tafadhali..
Natafuta marafiki ( sio mchumba ))....nipo dsm natafuta marafiki nina miaka 22 jinsia yeyote mnaruhusiwa kikubwa ni nataka kubadilishana mawazo na watu walionitangulia kimaisha pia kupata ushauri wenu wa kimaisha maana nina tatizo linaninyima raha sana..kwaiyo sihitaj marafik wa age moja na mim ninao wakutosha nahitaj wa umr kuanzia miaka 25 and above....jinsia yeyote tu mwenye mawazo chanya...Tafadhali ni pm number yako rafiki wa mimi brothers &sisters &fathers &mothers PLEASE MASHOGA MSINITAFUTE NAWEZA KUKUTOA FREEMASON BURE..NAHITAJI POSITIVE PEOPLE WITH POSITIVE MINDS
welcome!
Eti "muwe mna comment kama watu wenye akili",, yaan tutumie akili kwenye post mbovu kama hii:what:
Huyu atakuwa ni binti ndo wanaobaguaga watu eti wa rika yangu marafiki ninao wa kunitosha so anataka wakubwa.
Mana binti wa olevo hatembei na denti mwenzake eti hata kama ni hela anapewa kama mie.akifika chuo anadai huyu ni bumu bebi nahitaji mzee au mfanyakazi mwishowe magonjwa na mimba na anaachwa anashtuka mda umeenda na anaanza kujirudisha kwa bumu bebi ili wamuoe afu anakuwa mwimbaji mzuri wa kwaya,mlokole kwenda mbele afu akiwa 1st yr club kila siku.
Sina cha kuongezea hapo mkuu maana umemaliza yoote kabisa!