Plz and over plz dada zangu..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plz and over plz dada zangu.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NewDawnTz, Jan 18, 2011.

 1. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  The Story:
  Jana usiku majira ya saa tatu hivi kasoro nikiwa natoka zangu kusalimia marafiki nilipita eneo ambalo kuna uwanja na pembeni vijichaka vifupi (Dom) na kwa mbali nikaona vijana wawili wamesimama na binti wa kama miaka 25 na yule binti analia. Ikabidi nijongee kujua nini kinaendelea. Nilisikitika nikatamani kama nisingeenda

  Issue ni kwamba binti alikuwa amekutana na jmaa yake eneo hilo ambalo kuna uwanja na pembeni vijichaka vidogovidogo na inaonekana katika kunogewa jamaa akaomba mzigo na akapatiwa. Sasa katikati ya starehe ndio wale vijana wawili wakawaona na wakakasirika kwa yale madudu yaliyokuwa yakifanyika na wakapiga kelel "nyie hamjaona guest mnatufanyia uchafu maeneo haya" na baada ya jamaa kusikia hivyo akakimbia na kumuacha chini na jamaa wawili wakajaribu kumkimbiza bila mafanikio (kwa maelezo yao anafaa kushiriki Olympic).

  Kwa haraka yule binti ni mwanafunzi wa Chuo kimoja wapo hapa Dom na ni mwaka wa pili. Nikamuuliza yule binti kwa nini umefanya ujinga huu??? Hana la kujibu zaidi ya kulia. Wale vijana wawili wakamzaba vibao kama viwili vitatu nikawaambia muacheni aende zake hamna haja ya kumpiga maana kama ni somo amelipata.

  Muda wote toka jana nikawa najiuliza, hivi mwenye tatizo hapa ni nani?? Ni huyu kijana au ni binti?? Sijui nani anakosa kati yao. Labda mtanisaidia kufikia conclusion hapa

  Ila nagundua huyu binti ni mpuuzi TENA NASISITIZA NI MPUUZI KABISA, unakubali kuvuliwa nguo sehemu ya uwanja na watu wanapita; mwenzako kafungua tu zip kiasi ikitokea issue anatoka mkuku

  Dada zangu, aibu hizi, tena msomi kabisa wa mwaka wa pili....plz and over plz...respect yourself, msikubali kilaini namna hii na kudhalilika
  .

  Kwa ufahamu wangu (niko tayari kubadilisha mtazamo nikielimishwa) women can stand the heat more than men can do, na mkituachia sisi hata kwenye train na kwenye masoko tutashusha zip na tutapiga tu
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwa wanaohusika.
  wamekuskia
  baadhi ya wadada si wadada wote wanakubali ubanjuliwa vchakan,kwenye gari,ofcn au uwambazi mwa ukuta
   
 3. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hii nayo ya mwaka kuna watu bado wanado kwenye vichaka mpaka leo??
  Migesti imejazana kibao tena ya bei rahisi
   
 4. R

  R_chuggani Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jalala halichagui uchafu
   
 5. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  maisha ya wanafunzi ni magumu sana
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!!!! Mhhhh
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Wote ni wajinga tu,wapuuzi na wasiojiheshimu......
  Hakuna cha ye mwanaume anafungua tu zipu,he is also very low and cheap kufungua zipu kwa lengo la ku-do barabarani.
   
 8. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wa kina nani wanaowavua? both take the blame, sema tu jamaa hakustand up for her, inatakiwa amwage kabisa hujo jamaa, hachelewi kukimbia akamuacha ndani na watoto anapoingia mwizi.
   
 9. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Na yeye alishindwa nini kubenua kofuli jamaa aonje! kwani lazima atoe zote? angekua hajavua na yeye angetoka baruuu!!!! wajinga ndiyo waliwao, mwongeze kibao kingine huyo! ananidhalilisha mimi kwa kujihuisha na mazingira
   
 10. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  a problem can be a solution to another problem!
   
 11. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Me nakubaliana na wewe Carmel, ila bado naamini kwamba women you have the chance to stand more than men can do. Ukizubaa men atapiga tutu popote na nadhani ni hatari ladies wanapaswa kuwa makini nayo

  Ninaamini kama binti angekataa kwa nguvu yote kudhalilishwa jamaa angetuliza mzuka na angekubali kuingia gharama, say ya guest house.
   
 12. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Mkuu umenifanya nimecheka.....binti nadhani alinogewa zaidi hadi akasahau mazingira...kachojoa zote na hapa ndo utata ulipo..alinogewa mbaya
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  duuuuhhh
  kama kweli huyo dada alikubali kwa hiari yake basi ni kosa lake..

  lakini mie sijaona sababu yeyote ya hao vijna wengine wawili kumpiga makofi..
  kwani hapo ni udhalilishaji sasa....
  Binti mwenyewe kashaona aibu ya kutosha halafu wenyewe wampiga tena..
  vitu kama hivi vintamuumiza milee..
  ndo maana mabinti wengi wanakuwa depress.

  kwa kweli nampa pole sana..
  wangesubiri hata giza liingie afadheli..
   
 14. 2my

  2my JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo wote wa kulaumiwa kwani kulikuwa na haja gani ya kuchojolea nguo barabarani wakati miguest house imejaa kibao............
   
 15. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Ni kweli Maty, ila nadhani hakupaswa kujidharaulisha namna hii.....binti wa chuo cha elimu ya juu kabisa...hail no, huu ni uboga.

  Na kama ndo kucheleweshwa mikopo basi mpaka serikali irekebishe utoaji mikopo on time basi watoto wetu na wadogo zetu watakuwa wamepigwa mbaya mitaani
   
 16. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  On the other side of the Coin, Ts an adventure!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  what about those do it on office table?, In the car, bathroom, etc.............................Don take this personal..
   
 17. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Mkuu kama kuna kausekreti kidogo, we kula maadam waungwana wasione na wakati uwe unaruhusu..................angalau kuliko hii ya kwenye open ground na ka mwanga ka saa mbili jioni
   
 18. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #18
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Starehe popote bana, ili mradi hujamzonga mtu. Hao waliowakurupua mi ndo nawaona washamba...
   
 19. Mwenzetu

  Mwenzetu JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 500
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  ................mwenye tatizo ni wewe,nini cha ajabu ulichoona hapo kiasi cha kupoteza muda wako kuandika humu na kutufanya sisi tuome ujinga huo.:frusty:
   
 20. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  kijana atafutwe na apelekwe olimpiki huenda akatuletea medali.
   
Loading...