plugged in but not charging | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

plugged in but not charging

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mkurabitambo, Nov 29, 2011.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  guys,help me out..nina laptop hp 620 haicharg betri,lakin inaoparate ikiwa pluged kwa umeme..
  Nimejarbu several options ikiwemo kutoa na kurudishia betri lakin tatzo laendelea.plz help me out
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  umeme hautoshi ile 220 needed kwa kujaza umeme
   
 3. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [​IMG]mkuu usiogope natumia machine kama hiyo ikikwambia hivo inakuwa ikofulu charged yaani(100%)
  jaribu ku-unplug utumie mpaka chagi iishe au ipungue kabisa ndo uplagi tena utaona inacharge![​IMG]
   
 4. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  aksanten wakubwa,ila hyo kesi ya 220v cdhan kama inahusika,manake laptop zngne znapiga kaz kama kawa.
  Pili,cwez kabsa ku2mia bila kuiplug kwa umeme(haiwez boot 4rm battery,nikichomoa adapta na pc inazma)
   
 5. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  hata yangu ni type yako,but huwa natoa charger then naweka tena baada ya mda mfupi inachurge kama kawa!
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hiyo Charger(Adapter) unayotumia ni ya kwake Original? Kama ni Original pima Voltage zake kama ziko sawa. Hope utakuwa umenisoma
   
 7. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Inawezekana pia betri ikawa ndo kwa heri mkuu...ungepata mtu mwenye pc inayofanana na yako ujaribu kuweka betri yake kwenye pc yako uone...mara nyingi betri ikifa ndo mambo hayo!!
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Kama una utaalamu kidogo ukipata tatizo lolote always stop ya kwanza ni tovuti ya watengezaji wa kifaa. kwa case yao HP

  Ushauri
  HP ina utility au nyenzo ya kucheck afya ya bettry na kukupa feedback. .Unachotakiwa ni kuipakua (Download) na kuisimika(Install) hiyo utilitykwenye mashine husika. Then fuata malekezo na ushari kulingana na wanavyoelekeza.

  Jaribu kiunganisho hikii cha HP kupakua hiyo nyenzo

  HP battery health chekcer   
 9. l

  luhongedzo Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inshu kama hiyo ilisha wahikunikuta katika laptop ya dell illa nilijua tatizo coz wakati huo charger ilikuwa mbali kwaiyo nikatafuta ya haraka coz it was a quick job. nilipata ya HP ila pin zilikuwa zina ingiliana na chamuhimu watu huwa wanaangalia output voltage kwenye stika ya charger, na kwa kesi yangu ziliingiliana

  kitu ambacho nakushauri kabla hujaichomeka tafuta multimeter alafu pima current kwenye charger yako hakikisha inalingana na ile iliyoandikwa kwenye stiker ukiona inatofauti,basi jua hilo ndio tatizo, ila kama ni sawa basi tatizo litakuwa katika power supply ya laptop yako ambapo nakushauri uende kwa wakala wa hp hapa bongo
   
Loading...