Plot zinauzwa bunju 'a' block 6

Plot zinauzwa bunju 'a' block 6

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
11,323
Reaction score
9,772
Wadau kuna plots mbili zilizofuatana zinauzwa,
zipo BUNJU block 6,
ukubwa: kimoja kina 1400sqm na kingine 1250sqm
bei ni milioni 50 kila kimoja.
dalali hahitajiki,

tuwasiliane kwa 0715686424/0786407235/0764834622
 
Du mil50 khaaa!
mkuu bei ndo hiyo na haipungui hata buku, plots zimekaa pa zuri, anayenunua itabidi afikirie kujenga gorofa kama vipi coz hizo plots zimezungukwa na vitofa vya ukweli, hakuna nyumba ya chini hata moja.
 
Plot bunju million 50 hela ya TZ kwisha thamani
 
Duh, nitajenga hata Mkata wakati kuna subway!!
 
Bunju plot m.50 wkt manzese unahamisha mtu na familia yake unashusha guest ya ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom