Plot4Sale Prime Commercial Plot

g93

New Member
Joined
Jul 19, 2020
Posts
1
Reaction score
0
🏢 FURSA YA KIPEKEE YA UWEKEZAJI – COMMERCIAL PLOT YA KIBIASHARA KINONDONI 🔑

Unatafuta eneo lenye uwezo mkubwa wa kukuza biashara na kupata returns nzuri?
Hii ni nafasi yako ya kumiliki Commercial Plot yenye hati halali katika eneo linalokua kwa kasi kibiashara.

📍 Eneo: Nyakasangwe, Kinondoni District
📐 Ukubwa: 2,530 SQM
📄 Matumizi: Commercial (Retail & Wholesale)
💰 Bei: Kuanzia TSh 350,000,000/= (Mazungumzo yapo)

✅ Eneo linafaa kwa miradi mikubwa kama:
🏬 Shopping Plaza
🏭 Warehouse ya biashara
⛽ Petrol Station
🛒 Supermarket
🏢 Office + Retail Mix
🚚 Distribution Hub

Plot ipo kwenye eneo lenye movement kubwa ya watu, biashara zinazokua na potential kubwa ya ongezeko la thamani ya ardhi kwa uwekezaji wa muda mrefu.

📍 NAMNA YA KUFIKA – COMMERCIAL PLOT

🚌 Kwa usafiri wa umma:

  • Shuka Tegeta Kibaoni
  • Nenda karibu na Sheli ya Camel Oil kwenye njiapanda ya Wazo
  • Pembeni ya sheli kuna bajaji zinazoelekea maeneo kama Mivumoni, Msigani na Madale
  • Panda bajaji ya Msigani (TSh 2,000/=)
  • Shuka kituo cha Kwa Mathias kabla ya Msigani Center
  • Kuna T-Junction
  • Fuata njia ya Mahakama ya Mwanzo ya Wazo
  • Kutoka kituoni hadi plot ni takribani mita 400
  • Kutoka plot hadi Mahakamani ni takribani mita 150
🚗 Kwa usafiri binafsi:

  • Ukiwa umetokea upande wa Goba au Madale, pita njia ya Madale hadi kufika kituo cha Flamingo baada ya Zahanati
  • Utaona njia inayoingia kuelekea eneo la plot
  • Ukiwa umetokea upande wa Wazo, baada ya kituo cha Usalama (Madale Polisi Station) utaona njia inayojengwa kwa kiwango cha lami
  • Ingia kwenye hiyo njia na ifuate moja kwa moja
  • Utafika kwenye T-Junction ya Kwa Mathias
  • Usikate kona, endelea mbele kidogo kuelekea Mahakamani
  • Kabla hujafika Mahakamani utakuwa umefika kwenye eneo la plot
🏡 PIA ZIPO RESIDENTIAL PLOTS MBILI KINONDO

Plot zote zimeungana na zina hati ya Wizara:

1️⃣ Residential Plot – 831 SQM
💰 Bei: TSh 25,000,000/= (Mazungumzo yapo)

2️⃣ Residential Plot – 785 SQM
💰 Bei: TSh 25,000,000/= (Mazungumzo yapo)

📍 Namna ya kufika Kinondo:

  • Shuka kituo cha Bunju A
  • Kutoka Bunju A hadi eneo la plots ni takribani TSh 2,000/= kwa bodaboda
🔥 Usikose nafasi hii ya kumiliki ardhi yenye thamani na nafasi kubwa ya biashara na uwekezaji.

📞 Kwa maelezo zaidi, kuona eneo au kufanya mazungumzo ya bei — wasiliana nami: 0783 966839 call/WhatsApp au email: gtumaini2010@gmail.com . Karibu sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom