MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 353
Kosta iliyobeba abiria wakat akiwa anaendesha ghafla mbele kulikuwa na trafik akampungia mkono na kumsimamisha wakat ameshampita trafik akaona kitu kuwa kunatofaut akamfuata dereva na kumwambia
TRAFIC: Habari yako dereva!
DEREVA: Nzuri za kaz?
TRAFIC: Safi aise vipi mbona gal yako pleti namba za mbele na nyuma hazifanan?
DEREVA: Ha,ha,ha,haaa.. Maswali mengine bana ha,ha,haa!
TRAFIC: Sasa ndo unanidhalau au mana ninakuuliza swal unanicheka? Nimekuuliza mbona pleti namba zako hazifanani?
DEREVA: (kwa upole akamjibu) mbona makalio yako na sehemu ya mbele yako havifanan?