Please TRACE me... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Please TRACE me...

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Wa Ndima, Aug 7, 2011.

 1. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nimekuwa nikiona watu wengi wanazungumzia kuwa wanaweza kumtrace mtu akiwa online ama kwa kujua IP address yake au Jina lake kamili, jina la kompyuta yake na vitu kama hivyo.

  Sasa leo nilikuwa nahitaki kuwa traced, aniambie mtu yeyete hapa mimi niko wapi, jina langu kamili, IP address yangu nakadhalika kwa jinsi atakavyoweza.

  NB: Modes nimetoa ruhusa mimi mwenyewe kuwa traced tafadhali msiBAN mtu yeyote kwa hili kwa kuwa tunataka kujifunza

  Ukumbi ni wenu tafadhali.
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,228
  Trophy Points: 280
  Kama kweli wewe ni mtaalamu, jaribu kujiprotect wasiku-BAN hata ukiwatukana matusi members humu.
   
 3. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Sikusema naweza kujilinda na wala siko protected hapa nilipo, wala sija-hide IP address yangu niko nasurf kawaida kabisa. Nahitaji mtaalamu au yeyote anitrace hapa nilipo
   
 4. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  anitajie mahali nilipo, IP Address yangu, Jina langu, Jina la Computer yangu, Service Provider ninayetumia, kama natumia Modem au Wired network, gateway, router address yangu nk.
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Kama umeshatumia facilities za CMS kama vbulttin , Wordpress, Joomla utagundua uwa administrators wana acess na information nyingi kuhuus user. moja wapoikiwa ni Ip adress na hata email uliyosajili nayo( Iwe ya kweli au uwongo)

  kama umeshwai kutumia sript kama za google anaytics au nyinginezo zile za real time utagundua kuwa pia admin unaweza kujua specific Ip adress user wake alikuwa anatumia OS gani , ISP wa hiyo Ip , Brorser gani unatumia na version gani. Google analytics ni nzuri lakini haitoi real time. scammer wanatumia real time analytics tools zinazowasaidia na kurahisisha kai yao ...

  Kwa kujua email iwe ya kweli au ya uwongo scammer anaweza kukutumia email fulani inayoonekana ni credible mbinu hiyo inaitwa social engineering- Social engineering (security) - Wikipedia, the free encyclopedia ( winigeria wanaitumia sana )ambapo wewe mwenyewe unaweza kuamalizia kujianika na kutoa data zako bila kujua........

  Unaweza kuanza kulink email na faceboook account ili kuona kama unaweza kutegua kitendawili cha uhalisia wake........

  Ni ngumu lakini kwa kutumia nyenzo sahihi ukiwa na muda na kianzio cha data ndogo tu mtu anaweza kufumbua fumbo la wandima ni nani. Ndio maana inabidi tuwapogeze mod wa jf kwa kukeep onfidentiality sabau hata kama data tulizoweka ni za uwngo kuna uwezekano mtu mmwenye nyenzo sahihi akijumlisha moja na mbili atajua wandima ni nani.

  So kwa huo mtihani uliotoa kwa mod wa jf ni kazi rahisi kidogo Otheriwise tembela hii blog yangu ya mazoezi teknohama-Bongo - then andika coment moja. Naweza nisijue jina lakini nitajaribu baadhi ya data zako kwa msaada wa nyenzo saidizi. teh teh teh teh
   
 6. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nimekusoma ila sasa nahitaji kuwa traced hapa JF ili nijue ikiwezekana hata Mods wafanye hivyo.
   
 7. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mtazamaji, nimeshadondosha comment bila protection yoyote, haya nitrace
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu kuna uwezekana kuwa traced,ndio maana wanasema internet haina private,lakini mimi sijui ngoja tungoje wataalam,kumbuka huyo mtazamaji hapo juu kakupa real story
   
 9. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #9
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Duh wacha nisubiri mtaalam ndugu Mtazamaji!
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani kwa kifupi.
  Hata mods wana data ulizojaza tu (unaweza kujaza feki bila tatizo) plus public I.P address yako, public I.P haiwezi kukutrace mpaka jina au unapokaa, itatrace mpaka ISP wako tu, na ISP ndo anajua nani alikuwa na hiyo I.P na hawawezi kutoa hiyo data bila court order.

  Ngumu zaidi ni kwamba sio kila internet connection inabidi ujisajili, kuna prepaid Internet ambayo unaingia dukani unanunua modem unajaza hela, ISP hajui wewe ni nani. Hata bongo records za kujisajili sio nzuri, ni rahisi sana kuandika jina feki.
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  [TABLE]
  [TR]
  [TD]IP X.X.120.251
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Celtel Tanzania[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Celtel Tanzania[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Suspected network sharing device[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Unknown[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Static IP[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE]
  [TR]
  [TD]Tanzania, United Republic of [​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Dar es Salaam[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Dar Es Salaam[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]-6.8[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]39.2833[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]  Kwa hiyo mpaka hapo kama ni traicng najua namtafuta mtu yuko dar na ni mteja wa Celtel. Japo unatumia IP adress ya shared na hiyo ni info ya kawaida tayari imenipa kianzio. Sasa ningekuwa pia nina email yako iwe ya kweli au ya uwongo pia naweza kutumia kutafuta baadhi ya ata kama nilivyosema kule juu.

  Na ukifutilia unaweza kukuta wateja wa celtel wanaotumia Ip dress hiyo ni wa eneo fulani tu eg posta na kinondoni au Gongolamboto. So u can minimise and minimise searching criteria mpaka una baki na wigo mdogo.

  Unaweza pia kutimia comments za wandima jf kujua ni mtu wa fani gani au anajshughulisha na nini sana sana . Hii inaitwa profiling kama umeshaangalia vipindi vya CSI basi kuna mbinu zao zinaweza kutumika. teh teh teh.

  Mkuu ni kazi ngumu lakini inawezekana kabisa......... teh teh teh teh .

  Aisee baadae ngoja waje wataalam ngoja nikapate moja moto moja baridi kwanza.
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  mkuu ebu jaribu kuni-trace mimi
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nakujua sana wewe, wewe si Wa Ndima?
   
 14. L

  Lepapalongo Member

  #14
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  sasa wandima jamaa kaweza au la hasha.mie naweza kama nikipata email msg yako.
   
 15. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  Kazi nzuri kaka. Lakini kila mtu anayetumia modem ya airtel inaonekana kama yupo dar wakati ukweli ni kwamba yupo mkoani. Point yangu ni kwamba kwakuwa ISP (Celtel aka Airtel) yupo dar, basi wateja wote hata wa mikoani wanaonyeshwa kama wako dar kumbe wengine wako mikoa mingine. Kwahiyo, kwa bongo ni ngumu kujua exactly mtu yuko location gani kutokana na poor addressing system (ya mitaa na nyumba). Kujua mtu yuko mtaa gani itabidi kuwe na intervention ya ISP maana yeye ndo anaweza akajua mnara gani mtu alitumia-ambayo itakupa eneo fulani lakini sio specific location.
   
 16. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ahahahaaaaaaa NGULI umenichekesha sana!

  Bado sana hajanipata. Nataka kujua niko safe kiasi gani kutoa ama kuanika siri zozote nilizonazo. Ndiyo maana nataka wataalamu wanitrace hapa kujua mimi ni nani.
   
 17. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Humo nilipoweka RED ndiko ninakotaka kufanyiwe kazi, jamani wataalamu mko wapi? Mtazamaji amejaribu ila hajaniridhisha
   
 18. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mtazamaji hebu jaribu tena nimekudondoshea Comment kwenye site yako
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  kujua wewe ni wandima nani ni nyezo zaidi ya moja zinahitajika sasa ukiwa nazo zote na zikiupatia taarifa. Mfano yule jamaa mwenye ze utamu unadhani walimjuaje.? Posibility ziko nyingi ila inawezekana web server provider walitoa detail za credit card alizotumia kulipia gharama za domain au webserver....... Unajua bana neno internet maana yake uko connetced. ukishakuwa kuwa connected Unawe kufanya kazi ya utambulika kuwa ngumu lakini ukifanya jambo la ajabu sana utatambulika tu.......

  Mimi kwangu kama mtazamaji inaweza uwa ngumu kidgo lakini hiyo haimaniishi kuwa haiwezekani .....

  Ebu niambie na nitajie email uliyotumia kujisajili jf. teh teh teh . Isije ukawa unatumia wandima kama screen name kumbe kwenye email uliyotumia umeandikisha John Masanja na amabayo ni ya kweli inaeleza uhalisia wako.  Kuhusu hiyo comment uliyoweka inaonyesha IP adress yake ni ya NGO moja inaitwa XXX inayohusika na masuala ya wanawake. taarifa hizo ni kwa msaada wa http://whatismyipaddress.com. Na hiyo adress siyo ya GPRS kama uliyotumia kwenye comment ya mwanzo.

  Kama sio NGO basi kwa msaada wa google naona kuna kampuni au mashirika mengine yenye Initial tatuza WIx ( x sijaweka herufi ya mwisho ya hiyo taasisi yenye hiyo ip adress ) Tanzania mojawapo linajihusiha na mambo ya ICT . So .......
   
 20. k

  khalids19 Senior Member

  #20
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mimi ninaweza kukutrace but...but it will take time cause its hard to find out just kama hivi,lakini wewe unatumia Vodacom Internet ryt?your IP Starts with 41.222.XXX.X,halafu to trace you will need me to create another account halafu uwe haujui..yani hauko aware kwamba kunamtu anakutrace
   
Loading...