Please TRACE me...

Please TRACE me...

kaka Na Masterz Ya Computer science in Internet Ya Westham University 4real kwa Blog ka JF Ni ngumu kukutrace hata Mod hawezi bt naweza jua unatumiA wia then Ip adress pia naweza pata your email although najua itakuwa fake so mh its hard bt CIA wana device they can

mh!! MKUU

kama utaweka dau sawa ila for free nooo way!!

as long as najua kuwa wewe ni mtaalamu wa computer na pia umejaza detail za uwongo mtupu kwenye JF then nitatumia mbinu mbadala(WE GO OFFLINE)!!!!

Hadi sasa nimegundua kuwa wewe ni mwanaume! rite? Sasa fikiria wanaume tuna vichwa viwili! rite?

so kwa vile kichwa chako kikubwa kina akili na kipo carefull na wewe ni mkuu..itakuwa ngumu kuku trace kupitia JF . so itabidi tutumie kichwa chako kidogo ambacho hakina Brain!

Nimegundua unapenda Bia....so kukutrace ni kufungua account humu JF kwa kutumia jina zuri la kike na kuweka picha ya toto moja matata sana.

Halafu nakuwa na tupa sana comments uwanja wa mapenzi na mahusiano.kuwa nipo mpwekee na jinsi gani napenda Beer!!!! halafu naku add kama rafiki najua hutachomoa na utaanza porojo kwa PM nitajifanya nachomoa chomoa na kuogopa wanaume kwamba wamenitenda sana!!

then tutapeana namba za simu ukipiga nampa kicheche mmoja mkaleeee apokee na akuzingue kinoma na nampa elfu 50 tu si unajua mabaamedi ...mwenyewe utataka kuonana na utaanza kumwaga mambo yako na detail zako zitafataa....So mission kama hii nio simple ila ina cost pesa za kumpa huyo binti na muda kama mwezi hivi....HAPO VIPI MKUU?!! Ila sasa mtu akiku TRACE hivyo Lazima kuwe kuna deal la maana...

hahahahaaa

ofcz nimeshika weng kwa njia hi

siku ya WIA ISP nilikuwa kwenye office yenye Wireless network nikai-hack kisha nikawa sijaficha IP yangu ili niwe traced kama ingewezekana lakini ikawa ngumu pia

Na siku ile umetumia Modem ya Airtel je . Ile Ip adress yako ya airtel inatumiwa na watu wengi lakini modem yako si ina mac adress. Sasa kwa mac adress serikali wakiagiza watu wa airtel kujaribu kukutambua wandima ni nani . Airtel watakachofanya ni ku filter activity according to that mac adress. Sasa kwa hiyo modem yako may be unatumia kwenda kwenye accunt zako za gmail, yahoo, facebook na hata jf.

Ndivyo wanavyo connect mambo mkuu. Kama unatumia network( Iwe ni simu au internet) jua wewe ni tracable Unless useme unatumia internet ya internet cafe

ofcz simple way sana bt Kampuni za simu zina duty of confidance na ka Ni BB anatumia its hard

E bwana ebu nielekeze jinsi ya ku-hack email na ku-hide IP adress? kuna software natumia Hide My Ip naona kama haipo makini vile,mara nyingi natumia web ku-surf anonmous( HideMyass.com),Pliz nifahamishe...

Na siku ile umetumia Modem ya Airtel je . Ile Ip adress yako ya airtel inatumiwa na watu wengi lakini modem yako si ina mac adress. Sasa kwa mac adress serikali wakiagiza watu wa airtel kujaribu kukutambua wandima ni nani . Airtel watakachofanya ni ku filter activity according to that mac adress. Sasa kwa hiyo modem yako may be unatumia kwenda kwenye accunt zako za gmail, yahoo, facebook na hata jf.

Ndivyo wanavyo connect mambo mkuu. Kama unatumia network( Iwe ni simu au internet) jua wewe ni tracable Unless useme unatumia internet ya internet cafe

angalau hapa nimekupata kiasi kwenye MAC ADDRESS kama Modem ni yangu wanaweza kujua Modem ile ilitumia line gani na imesajiliwa kwa jina gani...

Ndio nimeiona IP yangu lakini Natumia Wireless hapa Hotelini,Lakini Mtu wa IT hapa nimeuliza amesema hiyo ni Public IP,kwahyo mtu yeyote atakayetumia network ya hotel atapata IP hiyo hiyo so what is next if ones find this Public IP?

Kama hotelini endelea kula maisha pia endelea kutumia HideMy Ass

ni ngumu sana, hasa kama unatumia Cafe au umehack wireless fulani

E bwana ebu nielekeze jinsi ya ku-hack email na ku-hide IP adress? kuna software natumia Hide My Ip naona kama haipo makini vile,mara nyingi natumia web ku-surf anonmous( HideMyass.com),Pliz nifahamishe...

You should stick to a VPN not a Hide IP software if you want to be hidden

Please trace me?
This is more of social engineering than technical. Kama unataka kufanya u-Kevin Mitnik, soma social engineering.

Back
Top Bottom