Please Samsung

Please Samsung

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
1794616_598595730228797_1238285120_n.jpg
 
Ila kweli inabidi wafanya
e hivyo maana kila siku wanatoa version mpya mpaka wateja wamechanganyikiwa, ona juzi tu wameitoa samsung galaxy s4, leo s4 ni ordinary na s5 itazinduliwa tarehe 24 mwezi huu, kabla mwaka huu haujaisha utasikia wameleta galaxy s6
 
Galaxy s6 itakuwa mwaka kesho. Mwaka huu ni s5. Huwa zinatoka kila mwaka mara moja. Baada ya s5 zitatoka version kibao based on s5.

S5 specs;
CPU: 2.5GHz Quad Core Processor or Exynos 6
Display: 133.3 mm(5.25”) QHD Super AMOLED
Camera: 20MP AF Camera + 2MP Front
RAM: 3GB LPDDR3 RAM
Smart Remote: Smart Remote (Universal Remote Control)
Full HD (1080p) Playback & Recording
GPS / GLONASS
3,000mAh Battery

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom