Please read, inawahusu wote wakaka na wadada

KAsema anaye na yuko safi

Huyu smile namjua sana...anaposoma hadi anapoishi asikuzingue!!!!!

mkopeshe tu ili asiende kuzitafuta pengine najua nikiitoa mimi hiyo ofa ataanza kusema, "kwani unanionaje..."
 
Hivi kumhonga au kumpa mpenzi wako hela ndo 'kipimo cha mapenzi'?
What if na yeye anakudanganya kuwa 'kasahau wallet'??
Kwenye hii case nadhani wote wameshajuana kuwa 'they are not honest'
Therefore, both are 'wicked'............... Mentor umeonaehh...penzi kitovu cha uzembe.........
 
Last edited by a moderator:
Kazi ipo hapo,huyo jama ni jiniaz !!!!
 
How Mtambuzi! Halaufu ungekuwa wewe ungemjibuje?
Nasubiri utoe picha yangu bhana

Hii hapa

black_women_hairstyles_5342_7406.jpg
 
Duh! Nimecheka hadi basi, dah wewe ni balaa
Haya maelezo yake je? mwanamke mwenye sura hii anatabia zipi
black_women_hairstyles_5342_7406.jpg

Kama sura yako inafanana na huyu binti, subiri kesho nitakuja kudadavua hapa..

Kwa kifupi ni kwamba wanawake wenye sura hiyo wako makini sana katikam kufanya maamuzi na huchukua muda kutoa jibu, kama unamtongoza binti anayefanana na sura hiyo, jiandae kupiga jaramba, yaani kusubirishwa kwani mara nyingi hupenda kujiridhisha kabla ya kukubali.

katika ndoa mara nyingi hupenda kuongoza, kama mume si muongeaji basi huchukua nafasi ya kuwa msemaji mkuu wa familia hata kama itakuwa nyuma ya pazia yaani mume hawezi kufanya uamuzi kama yeye bali hutumiwa tu kufikisha ujumbe lakini aliyefanya maamuzi ni mke, akipata mume b.w.e.g.e ndio kabisaa atampekelesha mbaya mpaka watu watasema amemlisha limbwata wakati si kweli.

Wanawake wenye sura kama hiyo wana uwezo wa kuwashika wanaume kirahisi. kama akikutana na mume mwenye msimamo ndoa yao haitodumu, kutokana na ile dhana ya mafahalia wawili.

Kwa upande wa kazi ni wachapa kazi na wana asili ya kuongoza, hawapendi majungu, na ni wawazi kwa kila kitu, kama wana madaraka, basi walio chini lazima washike adabu...

Niendelee..............LOL
 
Dah! Wewe ni njembe kama kuna kaukweli kidogo vile
Huu utabiri wa sura na tabia ulijifunzia wapi jamani

Lady: Do you smoke?

Guy: Yes I do.

Lady: How many packs a day?

Guy: 3 packs.

Lady: How much per pack?

Guy: $10.00 per pack.

Lady: And how long have you been smoking?

Guy: 15 years

Lady: So 1 pack is $10.00 and you have been smoking 3 packs a day which puts your spending per month at $900. In 1 year, it would have been $10,800. Correct?

Guy: Correct.

Lady: If 1 year you spend $10,800, not accounting for inflation, the past 15 years puts your spending total at $162,000. Correct?

Guy: Correct.

Lady: Do you know if you hadn't smoke, that money could have been put in a step-up interest savings account and after accounting for compound interest for the past 15 years, you could have by now bought a Ferrari?

Guy: Oh. Do you smoke?

Lady: No.

Guy: Then where's your f*cking Ferrari?
ipo kwa car wash ya jaffarai makumbusho...hahahahahha
 
Wi-Fi hapo kwenye red kwa kweli nishindwa kujizuia kucheka
 
Last edited by a moderator:
Hahaha,hyo jamaa ni sharp minded na ana akili sana!big up bro,coz hyo manzi atatembeaje bila walet?kna dada ifke mahali mjue kwamba dunia ya sasa hv co ya kudepend kwa mwenzio bali kusaidiana ndio mpango coz wnawke wa cku hz mmekuwa mkidepend sna kwa wnaume na ndo maana wengi wnu mnaishiwa kuchezewa.
 
Back
Top Bottom