Wanaboa . . . .
Tutake radhi rafiki! Au unataka kuzungumzia wavulana?Wanaume wa siku hizi wamebakiza suruali tu
Hivi ukimuomba mpenzi wako hela wewe ni mchunaji?
assume una mpenzi wako na watu wanamjua yupo tu vizuri,bahati mbaya umekwama mahali utakopa kwa mashosti zako au utakopa tu kwa mwezio?Hapana, ni uwekezaji
Mwanamme shuti awekeze
assume una mpenzi wako na watu wanamjua yupo tu vizuri,bahati mbaya umekwama mahali utakopa kwa mashosti zako au utakopa tu kwa mwezio?
maana ukikopa kwa mashost wanamuona jamaa yako sio mtu mzuri au vip,
i wish mtu angenitoa leo nimefuliaje best? nitoe basi 50 tu

Ngoja nikuMpesa
Hivi Mpesa inapokea Dola?
Mie huwa napenda kuwa real, kama shosti angu naweza mkopa nitamkopa, japo huwa si mkopaji kwa kweli
Naweza kuwa na hela kidogo tu kwenye pochi na nikawa na amani tu
Si umwambie jamaa kuwa umefulia? atajiongeza
Sorry rafiki, wewe haumo ila % kubwa wamebakiza suruali tu wanakwepa sana majukumu yao
ataona namchuna na mimi nampenda kuliko pesa! kama vipi niambie upo wapi nifate hayo madolariNgoja nikuMpesa
Hivi Mpesa inapokea Dola?
Mie huwa napenda kuwa real, kama shosti angu naweza mkopa nitamkopa, japo huwa si mkopaji kwa kweli
Naweza kuwa na hela kidogo tu kwenye pochi na nikawa na amani tu
Si umwambie jamaa kuwa umefulia? atajiongeza
Girl: Hey baby!
Boy: Yes honey...
Girl: I like this shoes bt I forgot my wallet at home...... could you please pay for me? They cost only Tsh. 45,000/=
Boy: Sorry honey, there's no any ATM machine around but here's Tsh.1,000/= rush home and get your wallet.....I will be here waiting
Swali:
Is the guy, Economic, Sharp minded, Wicked, Stupid, Resonable, Genius or Selfish?
ahaaaaaa dah kazi ipoInategemea na historia na tabia yako...
Anaye?