buyegiboseba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 535
- 145
Nakuunga mkono, kwamba CHADEMA wakubali matokeo, hata kama watashinda kwa kura chache, si lazima wapate kura nyingi sana,ushindi ni ushindi tu, niwajuavyo chadema watakubali tu kama walivyokubali UBUNGO, KAWE,ILEMELA,NYAMAGANA ambako kelele za vyura(Magamba) zilikuwa nyingi kiasi cha kuathiri masikio ya mwasimamizi wa uchaguzi hadi wakatangazi kwa sauti za chini kama wako kwenye barafu.