Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
- Thread starter
-
- #61
We naipendatz huna akili umeshindia mavi eeh?.umetoka MIREMBE lini?.ha ha ha husiwe unakurupuka cku nyingine UTAPAKATWA ohoo mwizi wa kura we!
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Excuses ni mbaya sana! Mtu ambaye kila anaposhindwa basi ana kisingizio huwa hafanikiwi
Cdm wanatukana sana and hawana nidhamu,hawafai kuongoza nchi iliyotulia kama yetu labda wakaongoze somalia

utoto unasumbua
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Usimpe sifa ya utoto,huyo ni ajuza. Si unajua ajuza akili zinakuwa zimejam? Inawezekana akawa amepewa jina hili R.I.P ifikapo 2015.yaah, akikua ataacha, natumaini ifikapo 2015 atakua mtu mzima na ataelewa somo
kwan vyama hivyo vinavyokubali matokeo si vyote ni CCM B
Usimpe sifa ya utoto,huyo ni ajuza. Si unajua ajuza akili zinakuwa zimejam? Inawezekana akawa amepewa jina hili R.I.P ifikapo 2015.
[QUOTE=Naipendatz;2559079]Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Umekosea, peleka haya mawazo yako kwa viongozi wa CHADEMA kule Igunga.
Excuses ni mbaya sana! Mtu ambaye kila anaposhindwa basi ana kisingizio huwa hafanikiwi
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Ukiwa ccm ni Kama laana,sasa hapa umeandika nini!?
Mbona nawashangaza sana nyie. Kwaani huyu ndugu kakosea nini? Yeye kasema wazi kabisa tena mchana kweupee kuwa "KWA HALI ILIVYO SASA IGUNGA NO WAY CHADEMA ITASHINDA". Sasa tatizo la kumzogoa ninini?
wewe ambaye haulipwi na cdm ccm wanajilipa shs ngapi kila mwezi. matumizi ya viongozi vibaraka wa ccm unayajua?According to you and padri slaa,wapenzi wa cdm sijui mmerogwa na nini?? Hamuoni wala hamsikii!!! Viongoz wa cdm wanawatumia kama mazuzu then wenyewe wanajilipa miposho ya mil.7 per month