Vyama vyote tz hukubali matokeo,isipokuwa cdm tu
statement yako inautata mkubwa sana vyama vyote tz vinakubali matokeo alafu unasema tena isipokua cdm inamaana cdm sio chama hapa tz? Tumia akili na sio masaburi kufikiria
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa, waamuzi walipendelea, walitulaza njaa et cetera!!
The same like cdm, wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura, mawakala wetu waliongwa, maboksi ya kura yameingizwa, wapiga kura kutoka nje waliongwa, kompyuta zimechakachua, crap crap crap et cetera!
Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!!
Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!! RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA, NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Acheni visingizio vya kitoto!! Kwanza cdm hawatapata kura ya muislamu hata 1,wanazuoni wa kiislamu wameshatamka
Cdm ndio chama cha wavuta bange
unamanisha kuwa ccm si wezi sio. Ktk hayo hayo majimbo 20 ya CDM ni yapi ambayo Tume ilitangaza rightaway bila harsal ya wananchi mfano Mwanza, Arusha, Ubungo, mbeya etc. Kama suala idadi ya viti vya ubunge ndo determinant ya idadi ya kura za Urais why Zanzibar haiongonzwi na Cuf. Dunia imebadilika ndugu yangu 19's not same as 20's.Nawaomba mkubali matokeo cdm! Visingizio vyenu vya kitoto watz wapenda amani tumevichoka
unamanisha kuwa ccm si wezi sio. Ktk hayo hayo majimbo 20 ya CDM ni yapi ambayo Tume ilitangaza rightaway bila harsal ya wananchi mfano Mwanza, Arusha, Ubungo, mbeya etc. Kama suala idadi ya viti vya ubunge ndo determinant ya idadi ya kura za Urais why Zanzibar haiongonzwi na Cuf. Dunia imebadilika ndugu yangu 19's not same as 20's.
Nawaomba mkubali matokeo cdm! Visingizio vyenu vya kitoto watz wapenda amani tumevichoka
Ccm ni noma wanatoa wanatwaa bora cdm hela wanazo fanyia kampeni wengeongeza matawi ya chama kuliko kwenda kuuza sura igunga.
kwanini ccm inaposhindwa wanaingilia tume, na tume nayo inakubali kutoa visingizio visivyokua na maana. Uchaguzi uliopita kuna majimbo mengi tu tume ilijidai wanekosea tena baada ya kushitukiwa ndo wakaja na excuse zisizo na mashiko. Afu kwa kinini unataka Cuf wakikubali na CDM wakubali? We need more transparency before your conclusions.Mkuu 170 to 20 ni tofauti sana kiuwiano!may be ingekuwa 110 to 80 or 100 to 90!! Zenji tofauti ya wabunge kati ya ccm na cuf ni ndogo sana