Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Umetumwa eeeh! Tuliza masaburi kama yanakuwasha yakune.

na lazima kitaeleweka mmezoea kuiba kura, ibeni na hapa igunga tuone, ni lazima pachimbike msijeleta huo wizi wenu hapa.
Bangi mbaya sana,hivi umevuta ya Malawi?
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
kwa nini mtanzania usivite bangi za tanzania kama ile ya tarime au mererani, hizi za nje ni mbaya sana matokeo yake ni haya unaandika upuuuz.
Mwerevu kwa kichaa ni kichaa...! Halafu unadai kuipenda Tanzania ....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!![COLOR=#ff0000 said:Naipendatz;[/COLOR]2559079]Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Vp na nyie mkishindwa mtakubali matokeo au ndo mtaenda mahakani kama akina Hawa Ng'humbi na Batilda??
Hivi we unayejiita naipendatz hivi zinakutosha kweli?