Please naomba tafsiri

Please naomba tafsiri

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
Am a politicians. I dont want to take this time as saying so many political words. Simple and clear is only i congraduations to you, to the university calling
Mmm, eee, mm calling the universtiy ...
Jamani alitataka kusemaje hapa?
 
I'm not a politicians so I don't want to talk much,congratulations to university of Colo...,Colombia university.
 
Jamaa linguistics mweupeeee,sababu lugha ni dnynamic huwezi kukariri kama takwimu za urefu wa barabara
 
Haha haha shule muhimu sana

Kwa akili yako unafikiri kuijua English ndio kusoma au ndio elimu?! Huo ni ushamba wa fikra tu! Nenda nchi kama France,Germany,China,Japan uone kama watu wanaitukuza hiyo lugha unayoiamini wewe kuwa ndio kipimo cha elimu!!

Zinduka mkuu
 
kwa hiyo phd kapata kwa lugha gani ??
 
lugha sio kipimo cha Elimu nakubaliana na wewe,izo nchi ulizozitaja hazitegemei msaada kutoka nchi nyingine.dunia ya kwanza umeitaja..na ww uliezinduka ukienda izo nchi unaongea lugha gani mkuu...
 
Mimi ni mwanasiasa, sitaki kusema kama siasa,nakupongeza kuchaguliwa chuo kikuu: mkuu hiyo tafsiri yangu si rasmi unaweza kupeleka bavicha au bakta watakusaidia
 
I am a politicians. I don't want to take this eh, eh this time as saying so many political words. Simple and clear, is only "kongrajuleshesi" to you...to the University "kolimbio" oh Columbia University for the good assistance we are getting to this hospital. I am sure you will continue to give...to give us a lot of support. As I have told you, earlier, you have hundred percent support from this people. They are devoted, they are really commited to make sure that they deliver a good service....
 
kwa hiyo phd kapata kwa lugha gani ??

Weeee! Kuongea ni issue ingn.... Inahitaji practice. Yaan sio kiingereza tu... Lugha zote. Kwenye kuandika km unaijua lugha kiasi sio issue... Coz unapata time ya kufikiria.... Kwenye kuzungumza sasa
 
lugha sio kipimo cha Elimu nakubaliana na wewe,izo nchi ulizozitaja hazitegemei msaada kutoka nchi nyingine.dunia ya kwanza umeitaja..na ww uliezinduka ukienda izo nchi unaongea lugha gani mkuu...

Kwa akili yako nchi ukiitegemea misaada lazima ujue lugha yake? Na kwanini utegemee misaada?!
 
kwa hiyo phd kapata kwa lugha gani ??

English ya kuandika na kuzungumza ni tafauti. Unaweza kuwa hodari sana wa kuongea lugha fulani lakini kuandika ukawa zero, au ukaweza kunyoosha mistari ya lugha lakini kuongea ikawa ni shida.

Kuzungumza inataka mazoezi, na hiyo ni kwa lugha yo yote.
 
Back
Top Bottom