Please msaada tena

Duh! Outing na lunch tu ndio ushapeleka mawazo mbali namna hiyo.
Matatizo yako hayaishi kwa kuongezea tatizo. Unataka kujiongezea tatizo kwa kuanzisha uhusiano mwingine tena na mume wa mtu wakati bado upo kwenye ndoa.
Huyo atarudi kwa mkewe ata ukiibia ibia na mwisho wa siku utakuwa katika matatizo zaidi.
Tatua matatizo yako kwanza.

Naombeni mnaochangie mzingatie haya.

1. Mume ni Fataki- Kwahiyo mke hampendi.

2. Mume amemshusha mke Njiani kisa naongea na familia- Mume hampendi mke.

3. kaka wa jirani anamjali huyu mke wa mtu, moyoni huyu dada anampenda- Upendo wa huyu dada kwa huyu kaka ni mzito kuliko kwa mumuwe.

Mchango wangu naogopa kuotoa kwasababu nikizingatia hayo yote naweza kuandika kitabu

Point to note
Sio kaka wa jirani tu , ni kaka ambaye ameacha familia yake mkoa mwingine ,

Huyo ni mume au? Anataka kuwaoa ukoo mzima? Haya na majirani na mahouse girl tena......bila shaka na watoto wa shule wamo kwenye list yake! Unaendelea kuishi nae because of economic dependency??? Mmmh! Maamuzi ya ndoa ni magumu kwakweli am so scared even to publish my views on this, but if I were you.....I would have kicked him away then off I go! My dear usijitie sumu ukatembea na huyo mkaka jirani yako utajuta mmeo akikukamata we ndo utaubeba mzigo wote tena we ndo utaonekana malaya zaidi yake. Alafu inavoonyesha nyie hampendani kabisa ila basi tu, sijui mnashindwa nini kupeana nafasi!

umemwambia neno la maana, afuate matakwa ya moyo wake, kwani hatimaye ni yeye ndiye atawajibika iwe kwa zuri ama baya, kuhusu ushauri akumbuke kuwa mshauri ajapotoa wa mzuri asipolenga matamanio ya ashauriwaye basi ni heri kulishauri jiwe maayu!
Uyu waleshiligue kisumba uyu Mayu !Sika nankanda!

Kama ndoa imekushinda kiukweli fanya mpango wa kuvunja ndoa kisheria, kisha tafuta mtu ambaye mtapendana kiukweli, kushea mapenzi wakati upo ndani ya ndoa wala sio heshima kwako.

Hivi nini maana ya ndoa yaani kuoa au kuolewa? Nini haki na wajibu wa wanandoa? Je ni lazima uendelee kuwa kwenye ndoa hata kama kila dalili, kwa mujibu wa maelezo yako, inaonyesha kuwa hiyo ndoa ni hatari kwa maisha na uhai wako? Je ni sahihi kuendelea kuishi na mume ambaye unamtambulisha kwa kumuita "HILI JANAUME"? Nashindwa kutoa ushauri wa maana kwa sababu sijapata maelezo ya upande wa pili ili kupata picha halisi ya nini kinachoendelea. Isije ikawa na wewe una mapungufu yako ambayo hujayaweka wazi. Ila unachotakiwa ni kufanya uamuzi unaouona unafaa na ambao hautakaa uujutie baadaye.

fanya maamuzi magumu, jipange upya na maisha yako, na huyo jirani ana Tamaha hana upendo wa ukweli, kama kaisalti familia yake jua kabisa na wewe utasaltiwa, kuwa mbali na huyo mume wako kipindi fulani huwe na mda wakutosha kutafakari, akijua umuhumu wako hatakutafuta na atakuwa amebadilika 1kwa1, huku ukiwa unafunga na kuomba, kama upo dar, tembelea sana kwa Mzee SARU, buguruni(malapa) upande wa sheli karibu na shule ya viziwi, muondoe kabisa kichwan mwako huyu jirani!!!!!!!!!!!!!!!!!

Naombeni mnaochangie mzingatie haya.

1. Mume ni Fataki- Kwahiyo mke hampendi.

2. Mume amemshusha mke Njiani kisa naongea na familia- Mume hampendi mke.

3. kaka wa jirani anamjali huyu mke wa mtu, moyoni huyu dada anampenda- Upendo wa huyu dada kwa huyu kaka ni mzito kuliko kwa mumuwe.

Mchango wangu naogopa kuotoa kwasababu nikizingatia hayo yote naweza kuandika kitabu

Just a small correction Vivian: amesema "JANAUME" siyo "MUME". Sidhani kama maneno JANAUME na MUME yana maana moja. Pia naamini kuwa ametumia JANAUME kutuma ujumbe wa hisia zake halisi.

pole sana.take it easy.kama unaweza kujitenga nae ni vizuri coz magonjwa ni mengi ss hivi.lkkama huwezi hilo basi mvumilie ila sali sana yote yanamwisho.pole tena

Jamanni nimerudi tena na matatizo yangu,, hili janaume linataka roho yangu sasa (kwanza badilika kwani tayari umeshaonyesha ni kiasi gani unamdharau mumeo ambaye unatakiwa uwe mstari wa mbele kumheshimu/ kuheshimiana nae), coz anafika mbali mpaka wageni na ndugu zangu sasa anawatongoza..me nimefika mwisho, nishaurini tena,, nafikiria kuachana nae ( unafikiria wewe kama wewe .. je umehusisha wasimamizi wenu katika suala hili?? je huwa mnakaa na mmeo kujadili do and dont's)lakini nitaanzia wapi maisha na ukiangalia nasimamia biashara zetu . lakini sasa natafuta jinsi ya kuishi nae katika hii situation. Umalaya wke nimeushuhudia sana na hata nikimkamata na sms or emails, hajali anazikana na ushahidi ukiwa wazi anasema sielew usemacho( kumkamata na sms, email etc .. si kithibitisho isipokuwa unatakiwa uelewe ni jinsi gani ya kuongea na mwenzako uone hivyo vitu vinakukera) , naweza kumfanyia uhuni wa mwaka( huo uhuni unadhani ndo utakaokusaidia kumfanya mumeo atulie au ndo inaweza kukuza tatizo???) lakini nikifikiria tulipotoka namuhurumia coz tumefight sana mpaka hapa tulipo nitakuwa pia nimemwaribia future zake.(wote kiujumla mtakuwa mmeumizana na kuhalibiana mambo yajayo ... mtabaki na kovu la mahusiano au ndoa yenu))

Hapa jirani na nyumbani kuna kaka mmoja ambae kwa jinsi alivyonieleza familia yake ipo mkoa mwingine ( tayari mawazo yako yamekupeleka kuzidi kuharibu ndoa yako kwa kutoka nje ili kuweza kutimiza tamaa ya mwili ya muda mfupi). Yeye yupo huku kikazi ana kama mwaka mmoja,kiukweli huyu kaka anaonyesha kunijali sana japo hajanitamkia chochote ( hapo ulipo unalalamika kwa kutendwa na mumeo kwa nini unataka na wewe kumtenda mwanamke mwenzio kwa kumchukulia mmewe .. je utakuwa unajenga au kubomoa???) ila anaonyesha kunijali coz mara nyingi ananialika lunch sometimes outing na zawadi (je kwako tatizo ni lunch na zawadi.. kwa nini usitoke na mmeo hata kwa kidogo ulichonacho???). lakini hajanitamkia lolote na wala mimi sijamweleza matatizo niliyonayo kwenye ndoa yangu.
Wanawake wenzangu nishaurini nijiingize katika mahusiano na huyu kaka tupeane kampany ( kwa nini ujiingize kwa mme wa mtu kama wa kwako unashindwa kumhandle??) ili maisha yangu ya ndoa yaendelee (hayo hayatakuwa maisha ya ndoa .. yatakuwa maisha ya uzinz) niwe na mtu wakumfikiria niachane na kumfatilia huyu baba au nifanyeje ili nihandle --- hii life style?? Coz mume ndo hivyo kawa fataki, siwezi kumbadilisha hata kidogo.leo asubuhi kanishusha bara barani nikatembea kwa mguu mpaka kazini kisa naongea na simu na mama yangu mdogo hataki niongee na ndugu zangu wala niwe na marafiki.

pokea THAAAAANKS

Mtu habadilishwi bali hubadilika mwenyewe,jaribu kufikiria kati ya afya yako na ndoa ni kipi cha maana,huyo jamaa atakusababishia maradhi ya kimwili na kihisia,huyo ni mfujaji hajali kama unaumia kihisia ama la,kupenda ni pamoja na kumjali mwenzako kimwili na kihisia,huu ni wakati wa kuifikiria thamani yako kama mwanamke au kama mwanadamu!

wewe huna future, vumilia, sali na ukae na mumeo hapo until u die of depression kama ukimwi haujakuwahi! ushauri ni kitu tunachoomba pindi tunapojua imetupasa kufanya nini na hatutaki kutimiza wajibu!
me nimefika mwisho, nishaurini tena,, naweza kumfanyia uhuni wa mwaka lakini nikifikiria tulipotoka namuhurumia coz tumefight sana mpaka hapa tulipo nitakuwa pia nimemwaribia future zake. siwezi kumbadilisha hata kidogo.
hataki niongee na ndugu zangu wala niwe na marafiki.

Similar Discussions

Back
Top Bottom