Please May I come in

Please May I come in

Mashambo

New Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
1
Reaction score
0
Nimevutiwa na JF kwa namna inavyoleta changamoto pamoja na ushirikiano wa members katika kulitatua tatizo mara linapotokea katika jamii.Huo ndiyo uzalendo.
Ahsanteni
 
Nimevutiwa na JF kwa namna inavyoleta changamoto pamoja na ushirikiano wa members katika kulitatua tatizo mara linapotokea katika jamii.Huo ndiyo uzalendo.
Ahsanteni
karib sana. bahati mbaya hatutoweza kukukaribisha kwa mziki, DJ wetu amepigwa ban.
 
Karibu sana Mashambo....huyo hapo juu ndo Dr Kloro, ukiwa na malaria, waweza kumwona!
 
Karibu sana ili na wewe uwe mmoja wa hao wanajumuia!!!
 
Back
Top Bottom