Please give us your pain levels when you see this sign

Please give us your pain levels when you see this sign

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,353
1577157548223.jpeg



1577157566323.png
 
December 23, 2019
Katika hospitali teule ya Makiungu wilayani Ikungi mkoani Singida, Tanzania mgonjwa anadai kusitishiwa matibabu mpaka alipe shilingi laki tano anazodaiwa baada ya kulazwa kwa muda wa miezi mitatu sasa kutokana na tatizo la tumbo na mgongo.

 
Watanzania wanaoishio nje ya nchi (Diaspora) wamekuja na mpango wa kujenga daraja kutoka Dar es Salaam mpaka Zanzibar. Mwenyekiti wa Baraza la (CCM) Diaspora Duniani (TDC Global) Norman Jasson ameieleza #UTV kwamba kinachosubiriwa ni baraka kutoka serikalin
 
Back
Top Bottom