MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Ai wewe ngoja Mama Enock aoneMimi napenda machangudoa - do it and forget it - no strings. attached!
Wanajamvi salamu!
Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya jambo hili. Since most of the times tunakuwa tunalia kutendwa kimapenzi na bahati mbaya sana tunatupiana lawama kila mara, je inawezekana kina kaka, shemeji na kina baba mkawa wawazi kwa kueleza ni vitu gani huwa mnavitamani kwa magalfried/wachumba au wake zenu? Yaani design ya sipendi/napenda
Swali hili liko direct kwa wanaume............nimefanya makusudi kuwauliza wanaume kwani ninaamini kabisa chochote mtakachosema, kina dada tutakuwa na either la kujitetea au kukiri hapa kwenu.
Hii ninaomba itumike kama njia mojawapo ya kuwasaidia walioko nje kama kina Lizzy na Afro Denzi kujua nini kina kaka mnapenda kwa mwanamke na kuelewa iwapo kuna ugumu wowote wa kutekeleza mtakacho/mpendacho kutokana na experience za wanawake wengine.
Nitaanza na nilichoambiwa na wa kwangu: Anapenda mwanamke ambaye yuko straight forward.........yaani amemuudhi/amekosea basi amwambie sio kununa nuna kama kuku aliye kwenye heat (haya ni maneno yake na si yangu..........sa sijui mie huwa ninanunanuna!!!)
HII YA KAFAULAYA HII........:biggrin1:Mimi napenda variety. Yaani napenda wachuchu wa dizaini mbalimbali. Kwa mfano, napenda wanene, napenda vimobitel, napenda Wachaga, napenda Wamburu, napenda wenye nyonyo kubwa kubwa, napenda watundu watundu na walio wakorofi kiasi. Sipendi wapole kupindukia. Sipendi walokole ila pia sipendi wapagani.
Wale wanaopenda kujichubua mimi nina mzio nao. Nywele za kafaulaya naweza kuzivumilia.
Pia napenda wabunifu hususan kwenye maloveee. Napenda wasafi. Sipendi walio walevi kupindukia. Daaah yaani napenda dizaini nyingi mno. Sasa sijui kama nimejibu swali lako au ndo nimeharibu kabisa. Ila nimejibu kwa ukweli.
Wanajamvi salamu!
Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya jambo hili. Since most of the times tunakuwa tunalia kutendwa kimapenzi na bahati mbaya sana tunatupiana lawama kila mara, je inawezekana kina kaka, shemeji na kina baba mkawa wawazi kwa kueleza ni vitu gani huwa mnavitamani kwa magalfried/wachumba au wake zenu? Yaani design ya sipendi/napenda
Swali hili liko direct kwa wanaume............nimefanya makusudi kuwauliza wanaume kwani ninaamini kabisa chochote mtakachosema, kina dada tutakuwa na either la kujitetea au kukiri hapa kwenu.
Hii ninaomba itumike kama njia mojawapo ya kuwasaidia walioko nje kama kina Lizzy na Afro Denzi kujua nini kina kaka mnapenda kwa mwanamke na kuelewa iwapo kuna ugumu wowote wa kutekeleza mtakacho/mpendacho kutokana na experience za wanawake wengine.
Nitaanza na nilichoambiwa na wa kwangu: Anapenda mwanamke ambaye yuko straight forward.........yaani amemuudhi/amekosea basi amwambie sio kununa nuna kama kuku aliye kwenye heat (haya ni maneno yake na si yangu..........sa sijui mie huwa ninanunanuna!!!)
Mimi napenda machangudoa - do it and forget it - no strings attached!
Kamanda... KWanza naomba nikushukuru from the central point of my heart kwamba ile support, i won!!
sasa hii message ya saa nane kasoro usku halafu unaomba tukupe mbinu za mchezo hii......... HAYA BHANA!!!
Wanajamvi salamu!
Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya jambo hili. Since most of the times tunakuwa tunalia kutendwa kimapenzi na bahati mbaya sana tunatupiana lawama kila mara, je inawezekana kina kaka, shemeji na kina baba mkawa wawazi kwa kueleza ni vitu gani huwa mnavitamani kwa magalfried/wachumba au wake zenu? Yaani design ya sipendi/napenda
Swali hili liko direct kwa wanaume............nimefanya makusudi kuwauliza wanaume kwani ninaamini kabisa chochote mtakachosema, kina dada tutakuwa na either la kujitetea au kukiri hapa kwenu.
Hii ninaomba itumike kama njia mojawapo ya kuwasaidia walioko nje kama kina Lizzy na Afro Denzi kujua nini kina kaka mnapenda kwa mwanamke na kuelewa iwapo kuna ugumu wowote wa kutekeleza mtakacho/mpendacho kutokana na experience za wanawake wengine.
Nitaanza na nilichoambiwa na wa kwangu: Anapenda mwanamke ambaye yuko straight forward.........yaani amemuudhi/amekosea basi amwambie sio kununa nuna kama kuku aliye kwenye heat (haya ni maneno yake na si yangu..........sa sijui mie huwa ninanunanuna!!!)
Napenda sana uwazi tena uliopitiliza siwezi kamwe kushindwana na mwanamke muwazi kama mimi nilivyo yaani namaanisha hata kama amegawa jana akisema ukweli nitamsamehe na kutafuta sababu ya kwa nini aligawa utamu wangu kwa mwingine na kama ni udhaifu wangu nirekebishe na kama ni wake nimsaidie lakini hii ya baadhi ya wanawake kujifanya wajuaji na kudharau upeo wa mwanaume wa kugundua mambo huwa inanikera kuliko chochote! Bai ze wei misi yoo MJ1
Mimi napenda variety. Yaani napenda wachuchu wa dizaini mbalimbali. Kwa mfano, napenda wanene, napenda vimobitel, napenda Wachaga, napenda Wamburu, napenda wenye nyonyo kubwa kubwa, napenda watundu watundu na walio wakorofi kiasi. Sipendi wapole kupindukia. Sipendi walokole ila pia sipendi wapagani.
Wale wanaopenda kujichubua mimi nina mzio nao. Nywele za kafaulaya naweza kuzivumilia.
Pia napenda wabunifu hususan kwenye maloveee. Napenda wasafi. Sipendi walio walevi kupindukia. Daaah yaani napenda dizaini nyingi mno. Sasa sijui kama nimejibu swali lako au ndo nimeharibu kabisa. Ila nimejibu kwa ukweli.
Unajua MJ1, swali lako kiasi fulani liko too general,
nadhani unaweza usipate majibu unayotarajia kwa kiasi fulani,
au ukapata majibu mengi kutoka katika mitazamo tofauti ya swali lako,
Labda ningependa kufahamu kuwa hapa tunaangalia umbo la nje la mwanamke,
au tabia/hulka ya mwanamke kwa ujumla,
Binafsi naona kuna tofauti hapo, tukiwa tunaongelea umbo na sura ya nje ya mwanamke Vs tabia/hulka yake
MFANO: MWANAUME umeoa, kisha unasema kuwa unapenda mwanamke mnene, wakati mkeo ulie nae ni mwembamba,
sasa hapo sijui inakuwaje?
Labda MJ1, ningeomba ufafanuzi zaidi wa swali lako!!!!!!
hahahaaaaaaaaa.....Mate, Mario Ocampo katangaza nafasi za kazi..........
Gagurito mh so mie kwako sina nafasi?LOLMwenzenu napenda mchuchu mweupe, mrefu, mwembamba (model), mchuchu msafi, mjanja, anaejua mapenz, mwenye kujali hisia zangu etc kifupi sipend madem wanene!