Please bot take care crdb bank inatuchanganya au ndio kufa ?

LIFE HELP

Senior Member
Nov 29, 2012
149
70
PLEASE BOT TAKE CARE CRDB BANK INATUCHANGANYA AU NDIO KUFA ?

1. Internet statement hazieleweki , ziko nusu nusu, not up to date 3 to 10 days behind very RISK
2. Within the bank same city Chaque deposits zinachukua zaidi ya wiki mbili bila taarifa bila sababu hadi payee na payer wanagombana na kuharibu biashara.
3. Chaque payment unayomlipa John BANKI wanamlipa Ally na ya Ally analipwa John, kuja kugundua hilo 2 week later, correction a week plus na baada ya payees kugombana.
4. Tellers baadhi yao wana jisikia/wabaguzi/wamejisahau sana hawana kabisa customer care kama 20% ya wote, watu wengi sasa husema kama huna pesa ya uhakika usiende CRDB.
5. Ukituma TISS unaambiwa payee atapokea pesa ndani 24 hrs badala yake 6 days tena kwa kugombana nao simu zenyewe hawapokei hata wakipokea hakuna solution majibu ngoja ! ! ! subiri !!! Sijajua ! ! ! ngoja ! ! ! subiri !!! Sijajua ! ! ! wana kata simu, inauma sana na umelipa pesa nyingi bado unaharibu mahusiano yako na supplier wako,, hasara ,tafadhali
Kwa wale wataalam wa sharia naomba ushauri hapo cha kufanya ushahidi ninao HAKIKA.

- Nasema haya nina uhakika nayo na ushahidi ninao,
- Mimi ni mteja wa CRDB zaidi ya miaka 20 yrs ndio maana inaniuma pia najua wazi kuwa ni BANK YETU YA KITANZANIA NDIO MALI YETU KWA SEHEMU KUBWA
- Naomba msamaha kwa wale wote watakao udhika nia yangu ni nzuri KUBORESHA.

BADO TUNAWAPENDA CRDB JIREKEBISHENI MAPEMA AU TUHAME MAPEMA…….
 
ATM card unapata baada ya miez 3 tena baada ya kuwasimamia kwa masaa 7....

mkuu upo sahihi
 
online link kwa kadi unaifutilid hadi unachoka....

then i opted abc bank nikapata kadi same day na kuwa linked same seconds....
 
Back
Top Bottom