Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
Watoto wazuri bila kuwadanganya danganya mambo hayaendi
Kweli lakini.....
Translate naendesha mkokoteni!Kuendesha mkokoteni nako ni ku drive
Translate naendesha mkokoteni!
riding ni kitendo cha ww kuketi juu ya kitu riding a bicycle,riding a horse n.kAm riding the mkokoteni....
riding ni kitendo cha ww kuketi juu ya kitu riding a bicycle,riding a horse n.k
riding ni kitendo cha ww kuketi juu ya kitu riding a bicycle,riding a horse n.k
hivi kumbe upo ehhh...sante kwa nyongeza!kukaa juu ya kitu kinacho move
hivi kumbe upo ehhh...sante kwa nyongeza!