Pleaaase...ushauri kuhusu hili!

Pleaaase...ushauri kuhusu hili!

wewe inaonekana huna maamuzi, achakuhusiana na wachumba wa wenzako ilihali unaye wa kwako tena anamtoto wako. chukulia huyo jamaa yake ungekuwa wewe ingekuaje. kama mkeo hayupo moyoni ulihusiana naye wa nn? we mbinafsi wakubwa hamna haya msomi unaleta unatengeneza watoto wa mitaani.
 
Oa mwenye mtoto alafu endelea kupiga huyo kicheche wako huku ukisubiri akupe ukimwi ukamgawie mkeo nyumbani.
 
unajua watu wamejiaminisha mno kua ukipewa penz yamaanisha unapendwaaa.babu hatuend hvyo huyo bint anakuleta std sasa hv hahahaha nakupa week utarudi na uzi mwngne tena.
 
Back
Top Bottom