Mlalahoi Mlalahai
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 399
- 146
Habari wadau, ninajaribu kuinstall apps kupitia Playstore lakini zinaishia kuload tu, haziingii kwenye simu, tatizo limeanza baada ya kujaribu kuinstall Camscanner, nafasi ikawa haitoshi sasa nikafuta baadhi ya apps ili camscanner ienee, baada ya hapo nimejaribu kuinstall hiyo camscanner na apps zingine zote zinaishia kuload tu kwa muda mrefu bila kuingia. Msaada wataalam