Playstore ya simu yangu inasumbua

Playstore ya simu yangu inasumbua

Mmasai Asilia

Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
48
Reaction score
6
Nimenunua simu mpya aina ya Samsung duos gt-7582, tatizo linakuja kwenye Google PlayStore, kila nikitaka nidownload Application yoyote kama vile Whatsapp inaniletea message ikisema SERVER ERROR, nimejaribu kuremove account lakini wapi, nimeclear lakini wapi, mpk wifi ya bure nimejaribuy ku2mia lakini wapi, msaada wenu. au ndio nimeshapigwa changa la macho?
 
Hapana mkuu,
Nenda setting halafu kwenye wireless and network click more network halafu nenda mobile network halafu acess point name.

Angalia kama kuna apn na kama ipo ni ya namna gani? Apn zenye proxy kama wap zinakataa kwenye modern apps kama playstore.

Kwa uhakika zaidi tengeneza apn mpya
Connection andika chochote
Apn andika internet

Save halafu jaribu upya kuingia playstore
 
Simu yangu ni Double Line, line ya Kwanza ambayo ni Voda ndio natumia kwenye internet, Tigo kwa ajili ya mawasiliano ya kawaida

Nimekwenda mpk kwenye Apn unayosema nimekuta imeandikwa Internet,alafu kwenye Name : Vodawap, huku kwengine hakujajazwa,...Nifanyaje maana bado SERVER ERROR inarudi
 
nenda mobile network, access poin , new apn alaf pale kweny name andika jina lolte kweny apn andika internet
 
Simu yangu ni Double Line, line ya Kwanza ambayo ni Voda ndio natumia kwenye internet, Tigo kwa ajili ya mawasiliano ya kawaida

Nimekwenda mpk kwenye Apn unayosema nimekuta imeandikwa Internet,alafu kwenye Name : Vodawap, huku kwengine hakujajazwa,...Nifanyaje maana bado SERVER ERROR inarudi

Badilisha kwenye vodawap weka internet save halafu jaribu kufungua playstore.
 
Mkuu kama umeweza kutumia browser yako kuingia jamiiforums hiyo inadhilisha hakuna tatizo lolote kwenye suala la internet connection, kama ulivyo sema tatizo lipo unapo taka ku-connect Google Play Store - tatizo hili huwa linajitokeza kwenye simu ambazo hazijawahi kuwa-connected kwenye playstore au kwa simu ambazo zilikuwa zina-connect vizuri plays store lakini zikawa reset na watumiaji au tarehe na muda kwenye simu hauko sahihi!!!

Mkuu nakushauri fanya yafuatayo: Nenda kwenye settings - click kwenye apps - chagua playstore icon, clear kila kitu kwenye playstore app yaani cache na data mwishowe click 'forcestop' click yes - when you are done - rudi kwenye main menu uclick playstore utaona inaji-update - baada ya kumaliza zoezi hilo sasa jaribu ku-download apps unazohitaji - sina shaka hilo lita solve tatizo lako - ikishindikana let me know nikupe njia mbadala, Goodluck.
 
Nimenunua simu mpya aina ya Samsung duos gt-7582, tatizo linakuja kwenye Google PlayStore, kila nikitaka nidownload Application yoyote kama vile Whatsapp inaniletea message ikisema SERVER ERROR, nimejaribu kuremove account lakini wapi, nimeclear lakini wapi, mpk wifi ya bure nimejaribuy ku2mia lakini wapi, msaada wenu. au ndio nimeshapigwa changa la macho?

Mkuu kama umeweza kutumia browser yako kuingia jamiiforums hiyo inadhilisha hakuna tatizo lolote kwenye suala la internet connection, kama ulivyo sema tatizo lipo unapo taka ku-connect Google Play Store - tatizo hili huwa linajitokeza kwenye simu ambazo hazijawahi kuwa-connected kwenye playstore au kwa simu ambazo zilikuwa zina-connect vizuri plays store lakini zikawa reset na watumiaji au tarehe na muda kwenye simu hauko sahihi!!!

Mkuu nakushauri fanya yafuatayo: Nenda kwenye settings - click kwenye apps - chagua playstore icon, clear kila kitu kwenye playstore app yaani cache na data mwishowe click 'forcestop' click yes - when you are done - rudi kwenye main menu uclick playstore utaona inaji-update - baada ya kumaliza zoezi hilo sasa jaribu ku-download apps unazohitaji - sina shaka hilo lita solve tatizo lako - ikishindikana let me know nikupe njia mbadala, Goodluck.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom