kiongozi bora uwaambie bana... watanzania hatuendelei kwasababu wanajifanya wanajua kumbe hawajui chochote...
Acheni kukatisha watu tamaa bila mpango jamani.
Kwanza hauhitaji kumlipa EA kitu chochote ukifanya mashindano ya Fifa, hakuna sheria wala utaratibu kama huo.
Pili of coz mwandaaji lazima apate hela, wewe yanakuhusu nini kuwa anapata mill 15? We unatoa 20,000 na kama una skills utaondoka na 5M yako.
Hapo ukikata hela ya ukumbi, playstations, tv screens, mishahara etc sidhani kama atafaidi mnavyodhani.
Mwisho probabilities hazina maana hapa kwa kuwa hii sio lottery ambayo ni game of chance, hii ni gamebo skill. Kwa mfano mimi probability yangu ya kushinda daima itakuwa zero maana sichezi Fifa.
Ushauri wangu labda muongeze washindi nafasi mpaka ya 10 hivi hata kama laki laki mtu unaweza kujihisi una chance zaidi.

shukran kaka nitakutafuta siku si nyingikaka umetisha!!! lakini nimependa zaidi ulivyo maintain your cool :biggup:. ukija Dar.. nitakuzawadia mtoto wa kiarabu. you always have had my respect, lakini leo you've past and beyond
Acheni kukatisha watu tamaa bila mpango jamani.
Kwanza hauhitaji kumlipa EA kitu chochote ukifanya mashindano ya Fifa, hakuna sheria wala utaratibu kama huo.
Pili of coz mwandaaji lazima apate hela, wewe yanakuhusu nini kuwa anapata mill 15? We unatoa 20,000 na kama una skills utaondoka na 5M yako.
Hapo ukikata hela ya ukumbi, playstations, tv screens, mishahara etc sidhani kama atafaidi mnavyodhani.
Mwisho probabilities hazina maana hapa kwa kuwa hii sio lottery ambayo ni game of chance, hii ni gamebo skill. Kwa mfano mimi probability yangu ya kushinda daima itakuwa zero maana sichezi Fifa.
Ushauri wangu labda muongeze washindi nafasi mpaka ya 10 hivi hata kama laki laki mtu unaweza kujihisi una chance zaidi.
Umenena vema kabisaAcheni kukatisha watu tamaa bila mpango jamani.

Kama ujui clouds inatoza fee ndogo sana kwa matangazo ndio maana unaskia wengi wanakimbilia huko..... Nenda IPP media ndo unajua mkasi waochief mkwawa.
usiongee kitu usichokijua.
na usipende ku comment usichokijua.
gharama za mashindano unajua ni sh ngapi?
na unajua mashindano yanaendeshwaje.
gharama za media unazijua tena clouds..super brand redio.