Playstation 4 vs xbox one, holiday 2013

Playstation 4 vs xbox one, holiday 2013

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,481
Reaction score
8,605
Heshima kwenu wadau wa entertainment,,

Kama mnavyojua kampuni kubwa za electronics dunian Sony na Microsoft zote zimetangaza Flagship gaming device zao zitakuwa sokoni Holiday season this year ( december 2013) na kweli wamepania maana Playstation 3 wameshaanza kuipunguza nguvu, PS2 wame discontinue production ready kuipisha Playstation 4 on market..

Microsoft nao wameshasema Living rooms zitakuwa ndio best place to be kwa kila member wa family kwa walichofanya kwenye Xbox one,,,,

Wadau wa entertainment, gamers for life, Tushauriane which will be a best option to buy kwa ajili ya online master league kwenye Pro evolution soccer 2014 na Fifa interactive world cup kwenye Fifa 14..

Maana master league ndio ugonjwa wetu wabongo wengi toka enzi za playstation 1 back in the days
 
fifa 14 ipo kwenye ps? niliskia microsoft ametoa kama 1bn usd kusecure exclusive games
 
Ipo PS3,4 NA xbOX 360 and up...
Haipo PS vita na 3DS.
 
mkuu nimesoma tena fifa14 itakua exlusive kwa xbox one kwa baadhi ya feature.

yani ps4 litakuepo lakini halitakuwa sawa na xbox one. baadhi ya vitu vitavyoongezeka ni ultimate team na manjonjo meangine toka cloud streaming
 
Nop kuhusu games bado EA sports hawajasema na hata hiyo PS4 ilivyo bado hakuna anaejua...

Jumatatu June 11 ndio tutapata majibu maana sony, microsoft, nintendo, games developer na wengineo wote watakuwepo kwenye E-3 kuonesha product zao za this year..

Na kwa habari ya chini ya kapeti sony Playstation 4 itakuwa presented na wadada kutoka Marketing Department ya Sony Corpolation kwa mara ya kwanza.. Maaana niaka yote E-3 walikuwa wanaenda watu wa Technology lakini sasa hivi watu wa marketing ndio wataionesha na kuicheza live mbele ya waandishi wa habari na kujibu maswali yote kuhusu PS4...

So Fifa 14 bado haijawa ku confirmed hadi kwenye E-3 ndio presenters watasema nini kitakuwepo kuhusu Fifa 14
 
mkuu kuhusu fifa nimeongea juu cause nimeiona uzinduzi wa xbox na nikafanya uchunguzi zaidi ipo confirmed sio tetesi

www.eurogamer.net/articles/2013-05-21-exclusive-fifa-14-ultimate-team-content-for-xbox-one
 
wazee wa bold vs italic
BMcWrkSCEAADHNJ-300x275.png
BMcafdQCYAI-91z-300x286.jpg

sijui nani kamcopy mwenzake
 
wazee wa bold vs italic
BMcWrkSCEAADHNJ-300x275.png
BMcafdQCYAI-91z-300x286.jpg

sijui nani kamcopy mwenzake
kwa jinsi nilivyofuatilia kidogo hii battle naona ps 4 iko juu,kuliko x box one kwanza nafuu $ 400 while xbox one $ 500,alafu online users wenyewe kwa wenyewe mnaweza mkauziana game.na unaweza ukatest kucheza game kwanza online kabla ya kulinunua.
 
mkuu usisahau microsoft inakuja na kinetic wakati ps4 kuwa na eye inabidi uinunue kivyake.

pia xbox wao wame aim iwe ya nyumba ina vitu vya ziada kama kuwa tv box
 
whatever it is mi naona ps 4 anshinda labda naongozwa na emotional sana,lakini mkuu usisahau kwamba ps 4 users watakuwa wanaweza kushare screenshots,na clips za video game wanazocheza,zaidi ya hapo inasemekana ps 4 itakuwa inasupport second screen option,kwenye tablet na smart phone as ilivyo ni kwamba tablet za sony tayari zinasuport ps 4 so hii inaenda kutengeneza kitu kinachoitwa sony`s social gaming network,alafu bila ya kusahau itakuwa inakubali used game kwa masikini kama sisi hii ni nzuri sana
f1833a57-94b5-443d-9d0d-629828c227fb.jpg
 
mkuu mndengereko mi sijawahi kua fan wa game za west maisha yangu yote nacheza game za kijapan kama final fantasy, fire emblem, pes na nyenginezo vitu hivi sivipati kwenye xbox na sifkirii kama ntakuja kumiliki console yao ila hapa naongelea reality.

kwa maeneo ya ulaya na marekani xbox ni nzuri kwao, ps3 lilikua ni bora kuliko xbox kwa nyanja nyingi lakini hadi kesho xbox 360 linampita mauzo ps3 kwenye ulimwengu wa wazungu. ps linauza sana africa na asia.

microsoft na patner wake wana games na ecosystem kubwa sana. sidhani kama sony anaifkia usisahau xbox inapatikana kwenye wp8, win rt na windows 8 kuna mpango wa kufanya ukinunua game la xbox console uwe umenunua kwenye w8, wp8 na rt advantage inakua kwao.
 
Kaka unaudanganya uma hapa, naomba uka google utuletee source ya mauzo mpaka sasa xbox 360 na ps3 nani kauza nyingi,, mpaka juzi ps4 inatangazwa ps3 zilikuwa zimeuzwa 78 million units worldwide while xbox 360 zimeuzwa 75 million units worldwide na ukumbuke xbox 360 zilitangulia kwenda sokoni mwaka mmoja kabla ya ps3..

Na hapo ps3 alipata shida ya mauzo maana alikuja na initial price kubwa usd 600 per unit wakati xbox 360 aliingia sokoni na usd 350 per unit..

So kwa bei anayokuja nayo sony sokoni kwenye ps4 atauza mpaka basi na sizani kama xbox one itamzidi sony mauzo kwa hizi machine mpya wanazotoa
 
mkuu ni wewe ndo umekurupuka kujibu nimeongelea vitu viwili
1.mauzo ya west (north america na ulaya magharibi kama uk,italy na france)
2.nimeongelea mauzo ya east na south (asia na kwetu africa)
sijaconclude sehemu kua xbox kauza sana worldwide.

mpaka mwezi april mwaka huu xbox alikua natimizia miezi 28 ya kuongoza mfululizo soko la marekani ngoja uone na revenue zilikuaje
xbox alipata dola milioni 208 wakati industry ilikua na dola milioni 495
hii ina maana dola milioni 295 waligawama (ps3, wii u, wii ya kawaida, nintendo 3ds, psp, ps vita na pc)

so hapa unaona xbox hajaaim worldwide ndio maana copy zake sio nyingi ila ame aim soko la watu wanaonunua games na sio soko la wanaoburn cd kucheza pirate games.

source
Xbox 360 marks 28 straight months atop U.S. market; industry sales sink 25% - GeekWire
 
mkuu mndengereko mi sijawahi kua fan wa game za west maisha yangu yote nacheza game za kijapan kama final fantasy, fire emblem, pes na nyenginezo vitu hivi sivipati kwenye xbox na sifkirii kama ntakuja kumiliki console yao ila hapa naongelea reality.

kwa maeneo ya ulaya na marekani xbox ni nzuri kwao, ps3 lilikua ni bora kuliko xbox kwa nyanja nyingi lakini hadi kesho xbox 360 linampita mauzo ps3 kwenye ulimwengu wa wazungu. ps linauza sana africa na asia.

microsoft na patner wake wana games na ecosystem kubwa sana. sidhani kama sony anaifkia usisahau xbox inapatikana kwenye wp8, win rt na windows 8 kuna mpango wa kufanya ukinunua game la xbox console uwe umenunua kwenye w8, wp8 na rt advantage inakua kwao.
hiyo ni preference yako,kuhusu magame ya kijapan,by the way mimi ni fan wa electronic arts games,x box siwezi kuiongelea sana coz sijabahatika kuicheza sana kama ninavyocheza ps 3,ila sio ishu ngoja tusubirie hizi ndude zitoke alafu tuone kimauzo nani atakuwa juu ya mwenzake,as zote zinatoka mwaka huu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom