PLAY STATION 3 GAME.

ICT_student_TZ

JF-Expert Member
Jun 27, 2018
392
175
Habari zenu wadau..

Kuna PS3 game ambayo ni used inauzwa... iko full packaged na ina padi zake mbili wireless..

Imetumika kwa muda wa miezI 6 tu tangu kununuliwa mpya kutoka dukani..

img-20190124-wa0002-jpg.1003954


img-20190124-wa0001-jpg.1003955

yenywe bado mpya kabisa kwan nilikuwa naitumia mwenyewe na sio biashara..
Haijachipiwa.
Bei Tsh 250,000

Nipo Dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom