STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
PLAY BOY - 01 "Nimesema ctaki ctaki na kama hela yako sihitaji..."
"..aah Jacky kwani mi napenda hivyo..."
"mwanaume gani huna hata huruma enh..?
Nimekupa bado hutosheki tu..."
Mimi ndiye Play Boy a.k.a Jef Ryder mtoto kama
huyu kwangu ni kazi ndogo tu. Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimtolea macho
Jacky ambaye kwa namna moja au nyingine
nilikuwa tayari nimeshamlegeza pale kitandani
lakini alikuwa ni mbishi sana katika mambo flani
flani.
"Jacky..? Unajua ni jinsi gani nakupenda." "skia Jef mi nimechoka we kila tukionana ni sex tu
sex tu hakuna hata maongezi...?"
Alizidi kuninyong'onesha kwa maneno yake lakini
niliendelea kujipa moyo nakuamini nitapata kila
kitu kwani kwa Jacky huwa hana ujanja na mi hata
siku moja. "Jacky, nakupenda tena zaidi ya sana..."
"nimeshakwambia Jef leo sitaki kufanya chochote
enh usikii"
Jacky alivuta taulo kwa nguvu huku akiongoza
kuelekea bafuni kuoga,niliendelea kumtolea jicho
huku akinitingishia kisha akaingia mpaka bafuni. Sikuridhika kabisa mpaka nikaenda kwenye
kitundu cha mlango kisha nikaendelea
kuchungulia.
Kiukweli Jacky alikuwa ameumbika asikwambe
mtu japo alikuwa anasex na mi mara kwa mara
lakini kuhusu kuridhika kwake ilikuwa si jambo la kitoto kwani mtoto ushepu alikuwa nao kuanzia
figa,makalio,guu guu.
Nilijikuta mwili wangu wote ukinisisimka mara
akawa amemaliza kuoga,fasta fasta nikajitupia
kitandani nakujifunika shuka upande kidogo huku
nikimsubiria Jacky atoke kuoga, alitoka bafuni huku akiwa tepetepe akijifuta kuanzia nywele zake
mpaka mapajani kisha,
"Jef.., Jef, enh umeshalala mara hii..."
"mh sijalala mpenz wangu,niambie...?"
"leo nakupa kwa mara ya mwisho mpaka mwezi
ujao tena ctaki habari za kila cku sex sex sawa...?" Sikuamini kama kweli yale maneno yanatokea kwa
Jacky au..!
Niliinuka pale kwa nguvu zote huku mkojo
ukinibana hivyo nikaelekea kwanza chooni
kukojoa na nilipotoka tu nilishangaa jacky
akiikodolea cmu yangu huku akivimba mdomo akionesha kukasirishwa na kitu,
"chukuwa cmu yako kuna meseji imeingia hapa"
Sikutaka kumsikiliza zaidi nikavuta simu yangu
nakuisoma,
"NJOO GETTO KWAKO NA LEO NINA HAMU KWELI WE
ACHA TU" Mapigo ya moyo yalinienda mbio huku nikianza
kutetemeka,
"nenda..! nenda c unasubiriwa uko nenda Jef.."
Nilishindwa kujielewa nifanyaje kwani kote kote
nilikuwa nataka lakini kilichoniumiza ni kwa huyu
Jacky anajua sana mapenzi kuliko hata Ney. +++ Je Jef atafanyaje..?