tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,323
Na Wa kwanza ni mtoa mada mwenyewe Kuna mwingine anajiita Gentamycine sijui lugha chafu na dharau kwa wengine wanazitoa wapi,au wanadhani hatujui matusi.Hadi hapo kwenye koma ya kwanza umeonekana ni kijana muungwana sana.
Japo ujinga kamwe haujifichi kilichofuata......
Twende mbele turudi nyuma. Wote humu ndani tuko kwa minajili mikuu mwili kama si mitatu
1. Kuhabarishana
2. Kuelimishana na
3. Kuburudishana
Hilo la kudharauliana sijui chini hizi kama zitaweza kututoa nafasi hii tuliopo kiumasikini na kiwango cha nchi yetu viwango vya mpira duniani.
Tuamke vijana wenzangu.
Post sent using JamiiForums mobile app
Dawa yao inachemka!!