Plate number: RC DSM Vs Lord Mayor DSM

Plate number: RC DSM Vs Lord Mayor DSM

Watu wa lumumba kabla ya kupost utumbo wenu ingien kwenye account za mtoa mada. Maana mnatia aibu. Au hamjui hata kuingia kwenye page ya mtoa mada??

Kwa uandishi huu huyu atakua ccm au CDM! Twaweza waliwapatia
IMG_0349.jpg
 
Nimepishana na haya magari mawili moja lina bendera ya taifa ndani yumo mkuu wa mkoa na lingine lina bendera nyeupe hivi na ina picha ya mnazi ndani yumo mstahiki meya wa Dsm. Nauliza tu wapendwa, hivi mstahiki meya hapeperushi bendera ya taifa?! Au akipeperusha bosi wake wa mkoa basi yatosha anakuwa amewakilishwa!

Tanzania kwanza
 
Naomba tuelewe kwa mfumo wetu wa kiutawala hapa Tanzania

Kuna serikali kuu (Central government) na pia tuna serikali za mitaa ( Local government)

Mkuu wa mkoa yeye yupo katika serikali kuu, na meya yeye ni wa serkali za mitaa

Hivyo basi viongozi wa serikali kuu, wao upeperusha bendera ya taifa, lakini meya yeye upeperusha bendera ya halmashauri yake husika
DC nae yupo serikali kuu ama mitaa.?
 
nyie woote ni wapumbavu na vichaa na mnaishi kwa kukalili na chuki mashetan hebu mfuatilien huyo mtoa mada martine george kama ni wa ufipa, HUYO NI KADA MWENZENU MTIIFU KAWATIA AIBU MNASINGINZIA UFIPA WAKATI HILO NI ZAO LA LUMUMBA FC
Una ushahidi gani?
 
Number plate
Vijana wa bavicha wana uwelewa mdogo sana wa mambo ya serikali.
Ndio maana sumaye kasema ameenda chadema kuwafundisha mambo ya kiserikali
Ngoja nisubiri wenye akili timamu waje wachangie maana nyie vichaa mnatupotezea wakat
Inawezekana aloleta hoja hata sio wa ufipa,
Mbona mnakua na mawazo butu sana.
Alotoa ufafanuz hajaweka mbwembwe wewe unaanza kuleta
Hamkui tu

May Allah bless Me and You
Kkimondoa,Hii mijamaa akili hamna kabisa.mtoa post ameuliza ili ajue.hajasema yeye ni Wa chama gani.
Haya ndio aina ya majitu ambayo yalituingiza ktk mikataba ya madini then leo yanalalamika kuwa tumeibiwa.

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
Acha akili za kipumbavu.huyu aliyeuliza hajasema yuko upande gani,nia yake ni kutaka kujua na ametusaidia na wengine ambao hatufahamu.

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
Umejaa upepo wa nini wee nyumbu tuliza mshono ufunike ujinga wako

Post sent using JamiiForums mobile app
Ujinga mwingine tena kutoka chadema
Jamani nimecheka Sana. Inaonekana wote mna stress
 
Vijana wa bavicha wana uwelewa mdogo sana wa mambo ya serikali.
Ndio maana sumaye kasema ameenda chadema kuwafundisha mambo ya kiserikali
Kwa hiyo mleta mada ni kutoka bavicha?

Wee jamaa ni zezeta na wa kupuuza,akili zako zimejaa m@vi tu!

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo mleta mada ni kutoka bavicha?

Wee jamaa ni zezeta na wa kupuuza,akili zako zimejaa m@vi tu!

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
Majibu ya kibavicha haya
 
Mkuu hongera kwa ufafanuzi, vijana wa Ufipa wao kulalamika hata kwa wasilojua, wamekua na lawama kama watoto wanaolelewa na mama wa kufikia

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hadi hapo kwenye koma ya kwanza umeonekana ni kijana muungwana sana.

Japo ujinga kamwe haujifichi kilichofuata......

Twende mbele turudi nyuma. Wote humu ndani tuko kwa minajili mikuu mwili kama si mitatu
1. Kuhabarishana
2. Kuelimishana na
3. Kuburudishana

Hilo la kudharauliana sijui chini hizi kama zitaweza kututoa nafasi hii tuliopo kiumasikini na kiwango cha nchi yetu viwango vya mpira duniani.

Tuamke vijana wenzangu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Vijana wa lumumba huwasema chadema hawana akili lakini hawatuambii kama viongoz waliosaini mikataba ya ki-Mangungo na leo wanatuambia tunaibiwa kwamba hawa ndiyo wenye akili
 
Huo sio ushahidi ni dhana tu uliyokuwa nayo
Kweli mna kazi kama hata hili nalo unataka ligi wakati liko wazi!!! Ila nadhani pia misijisahau sana maana mnaweza kudumaa kiakili maana najua huwa ni makusudi.
 
Mkuu hongera kwa ufafanuzi, vijana wa Ufipa wao kulalamika hata kwa wasilojua, wamekua na lawama kama watoto wanaolelewa na mama wa kufikia

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa kuchangia mada.

Unalakuongeza zaidi?
 
nyie woote ni wapumbavu na vichaa na mnaishi kwa kukalili na chuki mashetan hebu mfuatilien huyo mtoa mada martine george kama ni wa ufipa, HUYO NI KADA MWENZENU MTIIFU KAWATIA AIBU MNASINGINZIA UFIPA WAKATI HILO NI ZAO LA LUMUMBA FC
Wasamehe mkuu, hawajijui.

Wao buku 7 ndio habari ya mjini, ni mwendo kupishana kama panya
 
Kweli mna kazi kama hata hili nalo unataka ligi wakati liko wazi!!! Ila nadhani pia misijisahau sana maana mnaweza kudumaa kiakili maana najua huwa ni makusudi.
Uwazi wake kama unaujua si utuambie sasa.?!?
 
Mkuu hongera kwa ufafanuzi, vijana wa Ufipa wao kulalamika hata kwa wasilojua, wamekua na lawama kama watoto wanaolelewa na mama wa kufikia

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

We ni punguani maana aloletaada no wa Lumumba na lengo ni kutaka kuonyesha chadema hawataki kutumia bendera ya taifa,
Uwe unatumia akili viroba hamna SKU hizi
 
Back
Top Bottom