Plate number: RC DSM Vs Lord Mayor DSM

Plate number: RC DSM Vs Lord Mayor DSM

Martin George

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,695
Reaction score
1,470
Nimepishana na haya magari mawili moja lina bendera ya taifa ndani yumo mkuu wa mkoa na lingine lina bendera nyeupe hivi na ina picha ya mnazi ndani yumo mstahiki meya wa Dsm. Nauliza tu wapendwa, hivi mstahiki meya hapeperushi bendera ya taifa?! Au akipeperusha bosi wake wa mkoa basi yatosha anakuwa amewakilishwa!
 
Naomba tuelewe kwa mfumo wetu wa kiutawala hapa Tanzania

Kuna serikali kuu (Central government) na pia tuna serikali za mitaa ( Local government)

Mkuu wa mkoa yeye yupo katika serikali kuu, na meya yeye ni wa serkali za mitaa

Hivyo basi viongozi wa serikali kuu, wao upeperusha bendera ya taifa, lakini meya yeye upeperusha bendera ya halmashauri yake husika
 
Mkuu hongera kwa ufafanuzi, vijana wa Ufipa wao kulalamika hata kwa wasilojua, wamekua na lawama kama watoto wanaolelewa na mama wa kufikia

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ujinga mwingine tena kutoka chadema
 
nyie woote ni wapumbavu na vichaa na mnaishi kwa kukalili na chuki mashetan hebu mfuatilien huyo mtoa mada martine george kama ni wa ufipa, HUYO NI KADA MWENZENU MTIIFU KAWATIA AIBU MNASINGINZIA UFIPA WAKATI HILO NI ZAO LA LUMUMBA FC
 
Umejaa upepo wa nini wee nyumbu tuliza mshono ufunike ujinga wako

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hongera kwa ufafanuzi, vijana wa Ufipa wao kulalamika hata kwa wasilojua, wamekua na lawama kama watoto wanaolelewa na mama wa kufikia

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Acha akili za kipumbavu.huyu aliyeuliza hajasema yuko upande gani,nia yake ni kutaka kujua na ametusaidia na wengine ambao hatufahamu.

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
 
nyie woote ni wapumbavu na vichaa na mnaishi kwa kukalili na chuki mashetan hebu mfuatilien huyo mtoa mada martine george kama ni wa ufipa, HUYO NI KADA MWENZENU MTIIFU KAWATIA AIBU MNASINGINZIA UFIPA WAKATI HILO NI ZAO LA LUMUMBA FC
Kkimondoa,Hii mijamaa akili hamna kabisa.mtoa post ameuliza ili ajue.hajasema yeye ni Wa chama gani.
Haya ndio aina ya majitu ambayo yalituingiza ktk mikataba ya madini then leo yanalalamika kuwa tumeibiwa.

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
 
Naomba tuelewe kwa mfumo wetu wa kiutawala hapa Tanzania

Kuna serikali kuu (Central government) na pia tuna serikali za mitaa ( Local government)

Mkuu wa mkoa yeye yupo katika serikali kuu, na meya yeye ni wa serkali za mitaa

Hivyo basi viongozi wa serikali kuu, wao upeperusha bendera ya taifa, lakini meya yeye upeperusha bendera ya halmashauri yake husika
Nimeelewa mkuu, nashukuru! Kwahiyo Anna Mghwira wa Act yuko serikali kuu du ana bahati!
 
Mkuu hongera kwa ufafanuzi, vijana wa Ufipa wao kulalamika hata kwa wasilojua, wamekua na lawama kama watoto wanaolelewa na mama wa kufikia

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Inawezekana aloleta hoja hata sio wa ufipa,
Mbona mnakua na mawazo butu sana.
Alotoa ufafanuz hajaweka mbwembwe wewe unaanza kuleta
Hamkui tu

May Allah bless Me and You
 
Naomba tuelewe kwa mfumo wetu wa kiutawala hapa Tanzania

Kuna serikali kuu (Central government) na pia tuna serikali za mitaa ( Local government)

Mkuu wa mkoa yeye yupo katika serikali kuu, na meya yeye ni wa serkali za mitaa

Hivyo basi viongozi wa serikali kuu, wao upeperusha bendera ya taifa, lakini meya yeye upeperusha bendera ya halmashauri yake husika

Hujaeleweka.... Maelezo yake hayajitoshelezi kutetea hoja yako !!!

Lakini "Central" na "Local", zote ni government, au siyo ?

Swali:

Ni kwanini ukifika mbele ya Administration block ya District Executive Director (DED) ama City Exécutive Director (CED) ambaye kimsingi ndiye Head of Local Govt. Authority ktk eneo husika unakuta bandera ya taifa inapepea juu juuuu sana...???

Unataka kutuambia kuwa kwa Kitendo cha bendera ya taifa kupepea mbele ya Ofisi ya mkurugenzi wa H/M ama Jiji, Basi umejifanya wewe ni DC ama RC ??
 
Unasema DED wa kinondoni kwa mfano, ni mkubwa kuliko mstahiki Meya?!!
 
Vijana wa bavicha wana uwelewa mdogo sana wa mambo ya serikali.
Ndio maana sumaye kasema ameenda chadema kuwafundisha mambo ya kiserikali
 
Unasema DED wa kinondoni kwa mfano, ni mkubwa kuliko mstahiki Meya?!!

Wewe ndiye unayesema hilo.... Na zaidi sana, Sina hakika unamaanisha "ukubwa" kwa maana ipi hasa.....!!

Anyway, kwangu mimi naamini wote ni viongozi wa serikali moja yenye lengo moja.....

However, tukiwaweka katika mizani ya kihadhi, Mwenyekiti wa H/M ama Meya wa manispaa ama Jiji flani ana hadhi zaidi kuliko DC ama RC wa wilaya ama mkoa flani respectively....!!

Why ?

It's imply because, mayor huwekwa na watu wenyewe kwa njia ya kuchaguliwa/uchaguzi (élection) tofauti na DC ama RC ambaye huwekwa na mtu tu mmoja tu kwa mapenzi yake !!

NOTE:
Nimezungumzia mizania ya "hadhi" na siyo "mamlaka" wala "madaraka" baina ya watu hawa wawili......!! .

Mwingine yeyote aweza kuzungumzia madaraka...... kwamba, madaraka ya M/kiti wa H/M ama Meya yanaanzia na kuishia wapi ukilinganisha na ya DC ama RC kikatiba......

Then, from there we can answer the question....... who is more powerful than the other kitu ambacho nadhani ndicho ulichokuwa umekilenga sawasawa na mawazo ya wengine wengi humu !!
 
Back
Top Bottom