Plastic na aina 52 za kansa

chamtemamoto

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
796
195
Jumuiya ya uchunguzi ya Madaktari Wa Marekani imetoa majibu mapya Kuhusu Moja Ya Vyanzo Vikuu Vya Cancer, 1,Usinywe chai kwenye vikombe vya plastic. 2,Usile Chochote chenye moto mfano; CHIPS iliyomo kwenye mfuko wa plastic.3, Usipashe Chakula Kwenye Microwave Kwa Kutumia Chombo Cha Plastic, Plastic ikikutana na joto inatoa Kemikali inayo sababisha aina 52 za kensa.
 

kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,174
0
Tangu tukiwa wadogo tunanywea chai vikombe vya plastiki, basi tutakua tumeathirika sana.
 

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
7,393
2,000
Watu kwa ku challenge?
Ukweli unafahamika hivi vyombo sio salama.
Cancer inaweza kuchomoza kwa miaka mingi sana,sasa usimtukane mkunga wakati hutumii condom.
Nashkuru mleta uzi kwa ukumbusho wako,ninaanza kesho kuchukua hatua kwa familia yangu.

Mungu akubariki na uanze na Jtatu yenye mafanikio na baraka telee.AMEEEEN
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom