Misallocation of resources ndo shida zetu Africa wewe angalia ufaransa ina watu 85m ila eneo lao ni nusu ya eneo la Tz yenye watu 60m, tatizo ni vipaumbele vyetu.
Mkuu naona umenielewa ila sijasema unazaa ili wawe future investiment hapana, watoto na sehemu ya furaha kwa wazazi, suala la kufanikiwa ni Mungu kuna mwenye watoto wawili, ila wote maisha yamegoma bado wako kwao.