Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,209
- 33,758
Ni muhimu sana mwanaume kujiandalia maisha yake ya uzeeni, watoto wakiwa wakubwa na kuanza kujitegemea wana kawaida ya ku-reside zaidi upande wa mamaHaya mambo ya kusema watoto watakusaidia unabidi kuachana nayo Kama Una pesa Fanya uwekezaji mzuri na kata bima kubwa.
Naongea Kwa uzoefu ambao nimeuona wazazi waliozaa watoto wengi ndo ambao watoto wao wamewatalekeza wala hawawakumbuki.
Hivyo usiweke mategemeo yoyote Kwa watoto ikitokea amekusaidia na kukujali itapendeza Ila usiweke mategemeo yoyote.
Watoto hawawezi kuwa security yako .