- Thread starter
- #21
Wapi uko mkuu, duh huo ndo unaitwa "abject poverty".Hapana Kaka niko mbali na huko mjini nipo sehemu ambayo bado kumiliki baiskeli wewe ni tajiri na ukiwa na pikipiki basi utaowa mabinti wote wa huku .

Mshahara unaisha tarehe 8 alafu unakaa DSM alqfu unazaa watoto 10 ili waje wakusaidie masha. Sio fea.Nakuoga mkono 100% unapanga chumba na sebule utaza je wstoto 5, kazi yenyewe ni ualimu wa msingi kwahuyu si msapoti angeze ila mwenye uwezo wake ni sawa.
Kuna afisa mmoja aliyekuwa ameishi miaka mingi Marekani alizaa watoto wawili, wa kike na wa kiume.Uzae ili usaidie watoto sio ili watoto waje wakusaidie. Hizi ni mentality za mababu zetu zama za mawe.
Zaa watoto unaoweza kuwahudumia. Ndio maana Yakobo alizaa watoto 12+ wakati huohuo Isaka Baba yake alizaa Yakobo na Hesau tu na hakuzaa tena.
Kuzaa watoto bila mpango ni chanzo cha makala la wezi, makahaba, watoto wa mitaani na jamii iliyolemewa na majukumu yasiyowahusu.
Pia hao watu hawajambo unakuta ana na mchepuko pembeni ya mke rasimi anaishi maisha ya negative au deficite economy.Mshahara unaisha tarehe 8 alafu unakaa DSM alqfu unazaa watoto 10 ili waje wakusaidie masha. Sio fea.
Waswahili wanasema kuzaa si kupata. Na pia ukiwa kama mzazi, wewe kulea/kuhudumia watoto wako ni wajibu wako. Lakini watoto kukuhudumia huko baadae inategemea mbegu unayopanda wakiwa chini ya miaka 10.Elite class kubwa ya Tanzania wame chukua family plan kama sehemu muhimu katika maisha yao, na family plan kwao ni kua na watoto 1 kwa 3 ili aweze kuwalea vizuri kwa kuwapa best basic necessities kwa kushindana na wengine, ila mwishowe wame waachia na 'urban poverty' baada ya miaka kadhaa of over spending bila savings.
Ila jambo muhimu kwangu sio idadi ya watoto ila mandalizi ya hao watoto kuweza kuishi na kumudu maisha, hao wanao waita unplanned kids wamesaidia familia zao kuwawezesha wazazi wao pale wanapo kwama.
Mfano mzuri ni rafiki(workmate) wa Baba yangu alio pata tatizo la kiafya kidney trans-plant, planned kids wake wote walikua wawili walikua Ulaya waligoma kuja kumuona Baba yao kwa hofu ya kuombwa figo, ila yule unplanned kìd wa mkoani ulio zaa kipindi cha ujana wake ndo alijotolea kumpa figo na wajukuu kukaa nae nyumbani kwa babu yao mpaka alipo pona.
Huwezi kua na planned family katika un planned economies zetu za LDcs kama Tanzania ambazo zimejaa with alot of uncertainties, unapita mtu ana endesha basikeli unaambiwa huyu alikua DC mkuu wa wilaya au katibu enzi hizo, unajiuliza ilikua je?
Securiry yako ni watoto wako mimi nina watoto 7 ila kabla ya kufikisha 50yrs nataka niwe na watoto 11. Kwangu hao ni planned kids, na ntawamudu vizuri, so called planned kids ni wachache wanao fanikisha maisha na kukumbuka wazazi wao, wengi hawana utu na uchungu wa wazazi wao kwasbabu walipata kila kitu on 'sliverplate'
Kuzaa ni moja, mbili ni mafunzo.Kuna afisa mmoja aliyekuwa ameishi miaka mingi Marekani alizaa watoto wawili, wa kike na wa kiume.
.Wa kike ukahaba kwake ni kama maji. Na wa kiume bangi kwa kwenda mbele na hataki kuondoka kwa mzazi wake.
Jitu zima linalelewa
Vipi hapo?
Mbeya _umalila huku ambako hakuna jua mwaka mzima ,kwao na mtangazaji wa Tv bwana Baraka Adson MpenjaWapi uko mkuu, duh huo ndo unaitwa "abject poverty".
La muhimu ni wewe kufanya role yako na kufunza dini masuala ya mtoto kukumbuka ni la Mungu hilo huna uwezo nalo, nacho pinga ni pale mtu kua na planned kids kwa kutegemea watafanikiwa na kumkumbuka ila akakosa wote duh inauma sanaa.Waswahili wanasema kuzaa si kupata. Na pia ukiwa kama mzazi, wewe kulea/kuhudumia watoto wako ni wajibu wako. Lakini watoto kukuhudumia huko baadae inategemea mbegu unayopanda wakiwa chini ya miaka 10.
Zingatia, chini ya miaka 10. Wakishapevuka hawasikilizi sana wazazi wao
Huu ni mtazamo wako, shida ni pale unapolazimisha mtazamo wako wote tuufuate hata kama hauna mantiki, mwisho wewe ni :Securiry yako ni watoto wako
Duh,..mimi nina watoto 7 ila kabla ya kufikisha 50yrs nataka niwe na watoto 11.
Hilo sio kweli sio kila anae soma anafanikiwa, na sio kila asio soma ana fulia, mfano mike tyson mike jacson mlke jordan nk hao wote hawakusoma kabisa ila wameingizia matekani kiasi gani cha pesa.Kuzaa ni moja, mbili ni mafunzo.
Kuna research ya familia mbili US zilifuatiliwa kwa miaka 100. Generation ya ile qmbayo watoto walilelewa kwa maadili na mafunzo ya msingi ilitoa wachungaji, maseneta, wakurgenzi wa mqkqmpuni, maprofessor wa vyuo, na watu wa kubwa na familia ililiingizia taifa trillions za kodi.
Ile lezafea. Watoto wanaachwa bila usimamizi ilizaa makahaba, majizi, wauza madawa, wafungwa na iliisababishia serikqli hasara kubwa ya Trillions.
Kunauhusiano mkubwa kati ya malezi ya watoto na ustawi wa taifa.
Kumbe unaweza kuwapa hayo unayosema hata ukiwa na watoto 20 wakafanikiwa si ndiyo?Kuzaa ni moja, mbili ni mafunzo.
Kuna research ya familia mbili US zilifuatiliwa kwa miaka 100. Generation ya ile qmbayo watoto walilelewa kwa maadili na mafunzo ya msingi ilitoa wachungaji, maseneta, wakurgenzi wa mqkqmpuni, maprofessor wa vyuo, na watu wakubwa na familia ililiingizia taifa trillions za kodi.
Ile lezafea. Watoto wanaachwa bila biashara ilizaa makahaba, majizi, wauza madawa, wafungwa na iliisababishia serikqli hasara kubwa ya Trillions.
Kunauhusiano mkubwa kati ya malezi ya watoto na ustawi wa taifa.
Inawezekana.Kumbe unaweza kuwapa hayo unayosema hata ukiwa na watoto 20 wakafanikiwa si ndiyo?
Elite class kubwa ya Tanzania wame chukua family plan kama sehemu muhimu katika maisha yao, na family plan kwao ni kua na watoto 1 kwa 3 ili aweze kuwalea vizuri kwa kuwapa best basic necessities kwa kushindana na wengine, ila mwishowe wame waachia na 'urban poverty' baada ya miaka kadhaa of over spending bila savings.
Ila jambo muhimu kwangu sio idadi ya watoto ila mandalizi ya hao watoto kuweza kuishi na kumudu maisha, hao wanao waita unplanned kids wamesaidia familia zao kuwawezesha wazazi wao pale wanapo kwama.
Mfano mzuri ni rafiki(workmate) wa Baba yangu alio pata tatizo la kiafya kidney trans-plant, planned kids wake wote walikua wawili walikua Ulaya waligoma kuja kumuona Baba yao kwa hofu ya kuombwa figo, ila yule unplanned kìd wa mkoani ulio zaa kipindi cha ujana wake ndo alijotolea kumpa figo na wajukuu kukaa nae nyumbani kwa babu yao mpaka alipo pona.
Huwezi kua na planned family katika un planned economies zetu za LDcs kama Tanzania ambazo zimejaa with alot of uncertainties, unapita mtu ana endesha basikeli unaambiwa huyu alikua DC mkuu wa wilaya au katibu enzi hizo, unajiuliza ilikua je?
Securiry yako ni watoto wako mimi nina watoto 7 ila kabla ya kufikisha 50yrs nataka niwe na watoto 11. Kwangu hao ni planned kids, na ntawamudu vizuri, so called planned kids ni wachache wanao fanikisha maisha na kukumbuka wazazi wao, wengi hawana utu na uchungu wa wazazi wao kwasbabu walipata kila kitu on 'sliverplate'
Kweli kabisa, inauma sanaLa muhimu ni wewe kufanya role yako na kufunza dini masuala ya mtoto kukumbuka ni la Mungu hilo huna uwezo nalo, nacho pinga ni pale mtu kua na planned kids kwa kutegemea watafanikiwa na kumkumbuka ila akakosa wote duh inauma sanaa.
Covax leta madini 🙏🙏🙏Elite class kubwa ya Tanzania wame chukua family plan kama sehemu muhimu katika maisha yao, na family plan kwao ni kua na watoto 1 kwa 3 ili aweze kuwalea vizuri kwa kuwapa best basic necessities kwa kushindana na wengine, ila mwishowe wame waachia na 'urban poverty' baada ya miaka kadhaa of over spending bila savings.
Ila jambo muhimu kwangu sio idadi ya watoto ila mandalizi ya hao watoto kuweza kuishi na kumudu maisha, hao wanao waita unplanned kids wamesaidia familia zao kuwawezesha wazazi wao pale wanapo kwama.
Mfano mzuri ni rafiki(workmate) wa Baba yangu alio pata tatizo la kiafya kidney trans-plant, planned kids wake wote walikua wawili walikua Ulaya waligoma kuja kumuona Baba yao kwa hofu ya kuombwa figo, ila yule unplanned kìd wa mkoani ulio zaa kipindi cha ujana wake ndo alijotolea kumpa figo na wajukuu kukaa nae nyumbani kwa babu yao mpaka alipo pona.
Huwezi kua na planned family katika un planned economies zetu za LDcs kama Tanzania ambazo zimejaa with alot of uncertainties, unapita mtu ana endesha basikeli unaambiwa huyu alikua DC mkuu wa wilaya au katibu enzi hizo, unajiuliza ilikua je?
Securiry yako ni watoto wako mimi nina watoto 7 ila kabla ya kufikisha 50yrs nataka niwe na watoto 11. Kwangu hao ni planned kids, na ntawamudu vizuri, so called planned kids ni wachache wanao fanikisha maisha na kukumbuka wazazi wao, wengi hawana utu na uchungu wa wazazi wao kwasbabu walipata kila kitu on 'sliverplate'
Mkuu naona umenielewa ila sijasema unazaa ili wawe future investiment hapana, watoto na sehemu ya furaha kwa wazazi, suala la kufanikiwa ni Mungu kuna mwenye watoto wawili, ila wote maisha yamegoma bado wako kwao.Binafsi naona sio sawa kuwafanya watoto kama investments zako za baadae.
Umewataka mwenyewe walee, na kumbuka kuwaachia urithi huo ni wajibu wako.
Mambo ya planned na unplanned kids ni mambo ya kawaida tu, kama plans zingine zinaweza kukubali na zingine zikakataa. Hayo ya silver plates ni malezi ya wazazi tu, halihusiani na idadi ya watoto.
Punguza kujipa uhakika kwamba utawalea wote, lolote linaweza kutokea. Hakuna anayejua kesho.
Mimi kwa Wazazi wetu tuko wawili.kitabu.
Kuna mtu namfahamu Baba yake anawatoto zaidi ya 40. Yulo hai na hawanashida yoyote hapahapa nchini.
Pia hilo ni shida upweke hunaleta pychologica torture, na kukosa kujiaminiMimi kwa Wazazi wetu tuko wawili.
Nayajua maumivu ya kuwa wawili, kwa aliyewazaa hajui kile wanachojisikia watoto.
Na hii imeniathiri kiasi kwamba nilikuwa sitaki nisikie mdogo wangu kaumizwa hata kidogo au kuonewa na mtu mwingine.