Planned kids vs unplanned kids, usidanganyike

Kuna afisa mmoja aliyekuwa ameishi miaka mingi Marekani alizaa watoto wawili, wa kike na wa kiume.
.Wa kike ukahaba kwake ni kama maji. Na wa kiume bangi kwa kwenda mbele na hataki kuondoka kwa mzazi wake.
Jitu zima linalelewa
Vipi hapo?
 
Waswahili wanasema kuzaa si kupata. Na pia ukiwa kama mzazi, wewe kulea/kuhudumia watoto wako ni wajibu wako. Lakini watoto kukuhudumia huko baadae inategemea mbegu unayopanda wakiwa chini ya miaka 10.

Zingatia, chini ya miaka 10. Wakishapevuka hawasikilizi sana wazazi wao
 
Kuna afisa mmoja aliyekuwa ameishi miaka mingi Marekani alizaa watoto wawili, wa kike na wa kiume.
.Wa kike ukahaba kwake ni kama maji. Na wa kiume bangi kwa kwenda mbele na hataki kuondoka kwa mzazi wake.
Jitu zima linalelewa
Vipi hapo?
Kuzaa ni moja, mbili ni mafunzo.
Kuna research ya familia mbili US zilifuatiliwa kwa miaka 100. Generation ya ile qmbayo watoto walilelewa kwa maadili na mafunzo ya msingi ilitoa wachungaji, maseneta, wakurgenzi wa mqkqmpuni, maprofessor wa vyuo, na watu wa kubwa na familia ililiingizia taifa trillions za kodi.

Ile lezafea. Watoto wanaachwa bila usimamizi ilizaa makahaba, majizi, wauza madawa, wafungwa na iliisababishia serikqli hasara kubwa ya Trillions.

Kunauhusiano mkubwa kati ya malezi ya watoto na ustawi wa taifa.
 
La muhimu ni wewe kufanya role yako na kufunza dini masuala ya mtoto kukumbuka ni la Mungu hilo huna uwezo nalo, nacho pinga ni pale mtu kua na planned kids kwa kutegemea watafanikiwa na kumkumbuka ila akakosa wote duh inauma sanaa.
 
Hilo sio kweli sio kila anae soma anafanikiwa, na sio kila asio soma ana fulia, mfano mike tyson mike jacson mlke jordan nk hao wote hawakusoma kabisa ila wameingizia matekani kiasi gani cha pesa.
 
Kumbe unaweza kuwapa hayo unayosema hata ukiwa na watoto 20 wakafanikiwa si ndiyo?
 
Binafsi naona sio sawa kuwafanya watoto kama investments zako za baadae.

Umewataka mwenyewe walee, na kumbuka kuwaachia urithi huo ni wajibu wako.

Mambo ya planned na unplanned kids ni mambo ya kawaida tu, kama plans zingine zinaweza kukubali na zingine zikakataa. Hayo ya silver plates ni malezi ya wazazi tu, halihusiani na idadi ya watoto.

Punguza kujipa uhakika kwamba utawalea wote, lolote linaweza kutokea. Hakuna anayejua kesho.
 
La muhimu ni wewe kufanya role yako na kufunza dini masuala ya mtoto kukumbuka ni la Mungu hilo huna uwezo nalo, nacho pinga ni pale mtu kua na planned kids kwa kutegemea watafanikiwa na kumkumbuka ila akakosa wote duh inauma sanaa.
Kweli kabisa, inauma sana

Wacha nisipoteze muda nikajadiliane na baba Mu tuendelee kujaza dunia
 
Covax leta madini 🙏🙏🙏
 
Mkuu naona umenielewa ila sijasema unazaa ili wawe future investiment hapana, watoto na sehemu ya furaha kwa wazazi, suala la kufanikiwa ni Mungu kuna mwenye watoto wawili, ila wote maisha yamegoma bado wako kwao.
 
kitabu.
Kuna mtu namfahamu Baba yake anawatoto zaidi ya 40. Yulo hai na hawanashida yoyote hapahapa nchini.
Mimi kwa Wazazi wetu tuko wawili.
Nayajua maumivu ya kuwa wawili, kwa aliyewazaa hajui kile wanachojisikia watoto.
Na hii imeniathiri kiasi kwamba nilikuwa sitaki nisikie mdogo wangu kaumizwa hata kidogo au kuonewa na mtu mwingine.
 
Pia hilo ni shida upweke hunaleta pychologica torture, na kukosa kujiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…