Sidhani kama nilishawahi kua na wazo la kusaidiwa na watoto ila naomba ujue neno "uncertanities" ukilielewa hilo neno kusaidiwa utalifuta .Haya mambo ya kusema watoto watakusaidia unabidi kuachana nayo Kama Una pesa Fanya uwekezaji mzuri na kata bima kubwa.
Naongea Kwa uzoefu ambao nimeuona wazazi waliozaa watoto wengi ndo ambao watoto wao wamewatalekeza wala hawawakumbuki.
Hivyo usiweke mategemeo yoyote Kwa watoto ikitokea amekusaidia na kukujali itapendeza Ila usiweke mategemeo yoyote.
Sidhani kama nilishawahi kua na wazo la kusaidiwa na watoto ila naomba ujue neno "uncertanities" ukilielewa hilo neno kusaidiwa utalifuta .
"Bila mpango" fafanua hilo neno utuambie yakobo alikua na mpango upi ili nasisi tujifunze huo mpango wake ndo tuzae mkuuUzae ili usaidie watoto sio ili watoto waje wakusaidie. Hizi ni mentality za mababu zetu zama za mawe.
Zaa watoto unaoweza kuwahudumia na kuwasaidia. Ndio maana Yakobo alizaa watoto 12+ wakati huohuo Isaka Baba yake alizaa Yakobo na Hesau tu na hakuzaa tena.
Kuzaa watoto bila mpango ni chanzo cha ongezeko la wezi, makahaba, watoto wa mitaani na jamii iliyolemewa na majukumu yasiyowahusu.
Hao wanao ka vibarazani ndo matajiri wa k koo, wengi wanamiliki majumba ya kupanga kuliko wanao shida na mabahasha kusaka ajira acha kubeza watu, kila mtu ana maisha yake ya kuishi wewe unataka kila mtu awe secritary wa boss mkuu amka acha kukalili maisha.Kukaa vibarazani kunywa gahawa na kashata kwa kuamini ipo siku kizazi chako kitakuwa na wajibu wa kukulea imepitwa na wakati ,wazee amkeni mkawekezeni mashambani na mijini kuepuka aibu ndogo ndogo huko kwenye fainali ya uzee .
Ukweli mtupuHaya mambo ya kusema watoto watakusaidia unabidi kuachana nayo Kama Una pesa Fanya uwekezaji mzuri na kata bima kubwa.
Naongea Kwa uzoefu ambao nimeuona wazazi waliozaa watoto wengi ndo ambao watoto wao wamewatalekeza wala hawawakumbuki.
Hivyo usiweke mategemeo yoyote Kwa watoto ikitokea amekusaidia na kukujali itapendeza Ila usiweke mategemeo yoyote.
Watoto hawawezi kuwa security yako .
Kaka unanifokea .Hao wanao ka vibarazani ndo matajiri wa k koo, wengi wanamiliki majumba ya kupanga kuliko wanao shida na mabahasha kusaka ajira acha kubeza watu, kila mtu ana maisha yake ya kuishi wewe unataka kila mtu awe secritary wa boss mkuu amka acha kukalili maisha.
Ata wenye planned kids kuna wezi walio pata mimba bila ndoa, hawana mbele wala nyuma wako above 30yrs ila bado ni dependants kwako wanaishi kwako, so idada ya watoto is not a determinant factor for success of failure in life, .....Watu wana watoto 10 ila ngoma bila bila , hata akiomba laki hapati ...Utakuja kuzeena na kinyongo watoto wako wengine wamekuwa wezi , majambazi kwa vile hawana kazi ...Wakike ndio wanazlishwa tu wako nyumbani.
Nilidhani uko jijini dar es salaam, kwasbb wazee wengi dar hawafanyi kazi ni social sana ila wanamiliki maliKaka unanifokea .
Niulize niko wapi ndiyo niseme nawasema wa wapi ?
Wote Yakobo na Isaka walikuwa na uwezo wa kuhudumia watoto wao kwa idadi yao. Mwenye 12 na mwenye 2."Bila mpango" fafanua hilo neno utuambie yakobo alikua na mpango upi ili nasisi tujifunze huo mpango wake ndo tuzae mkuu
Hapana Kaka niko mbali na huko mjini nipo sehemu ambayo bado kumiliki baiskeli wewe ni tajiri na ukiwa na pikipiki basi utaowa mabinti wote wa huku .Nilidhani uko jijini dar es salaam, kwasbb wazee wengi dar hawafanyi kazi ni social sana ila wanamiliki mali
Nakuoga mkono 100% unapanga chumba na sebule utaza je wstoto 5, kazi yenyewe ni ualimu wa msingi kwahuyu si msapoti angeze ila mwenye uwezo wake ni sawa.Wote Yakobo na Isaka walikuwa na uwezo wa kuhudumia watoto wao kwa idadi yao. Mwenye 12 na mwenye 2.
Hata wakati wa njaa bado walikuwa na Cash za kununua chakula Misri.
Namaanisha angalau uwe na mpango wa kuwasupport unaowaleta sio kusubiri wao ndio waje wakusipport. Hata ukizaa mia ila uwahudumie hadi wajitegemee bila kujali kama huko baadae watakukumbuka au la.