Confirmed======
UPDATE:
It's confirmed, ndege imeanguka eneo hilo (maeneo ya Kabuku) na imeliangukia gari ambalo inahisiwa ni la watalii, mwandishi wetu anafuatilia kwa karibu tutawafahamisha zaidi
Dah poleni sana vipi nanihii alikuwepo au??
Mh! mbona hapa sipo mkuu?Sugu nenda kaiokoe Mbeya mjini mwana.
Much love, respect and support
Mh! mbona hapa sipo mkuu?
Wale madalali weu wanaouza ndege chakavu wakidhani ni vyuma chakavu wanasikia haya?
Wengine wanasema MBWEWE!Tafadhali waleta habari wawe specific.wengine wanasema Segera wengine Kabuku nashindwa kuelewa ni sehemu gani haswa hiyo ajali imetokea.Kuna umbali mkubwa kutoka Kabuku na Segera almost 21 km,tena kuna vijiji vingi btw eg Michungwani,Chang'ombe,kwedizinga na nk.