Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 883 Apr 14, 2012 #41 Smiling Saint said: kufanya utalii wa ndani a.k.a kula kuku(bata siwapendi sana) Click to expand... Kwanini hupendi bata?
Smiling Saint said: kufanya utalii wa ndani a.k.a kula kuku(bata siwapendi sana) Click to expand... Kwanini hupendi bata?
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Apr 14, 2012 #42 Smiling Saint said: kama kuna nzombo na matembele au kisamvu hapo sawa... Click to expand... SS vipi umesikia kanumba kaonekana TBT..
Smiling Saint said: kama kuna nzombo na matembele au kisamvu hapo sawa... Click to expand... SS vipi umesikia kanumba kaonekana TBT..
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Apr 14, 2012 Thread starter #43 Amyner said: Kwanini hupendi bata? Click to expand... kwa tuliokaaa kotaz na uswazi, mazingira wanayofugwa hayavutii kabisaaaa!
Amyner said: Kwanini hupendi bata? Click to expand... kwa tuliokaaa kotaz na uswazi, mazingira wanayofugwa hayavutii kabisaaaa!
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Apr 14, 2012 Thread starter #44 ndetichia said: SS vipi umesikia kanumba kaonekana TBT.. Click to expand... hiyo habari ingeandikwa na habari leo au majira au mwananchi ningeifikiria... lakini kwa gazeti lilioandika... hata sitaki kuhangaisha akili yangu kuwazia hilo.... the guy is still living in somepeoples minds
ndetichia said: SS vipi umesikia kanumba kaonekana TBT.. Click to expand... hiyo habari ingeandikwa na habari leo au majira au mwananchi ningeifikiria... lakini kwa gazeti lilioandika... hata sitaki kuhangaisha akili yangu kuwazia hilo.... the guy is still living in somepeoples minds
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Apr 14, 2012 #45 Smiling Saint said: yap, sijakuona yapata 2 days nao! sijambo ila kina b52 hawaonekani! Click to expand... Na umeme unachangia mpendwa wangu, hapa leo ndo wametuachia sijui watachukua saa ngapi!
Smiling Saint said: yap, sijakuona yapata 2 days nao! sijambo ila kina b52 hawaonekani! Click to expand... Na umeme unachangia mpendwa wangu, hapa leo ndo wametuachia sijui watachukua saa ngapi!
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Apr 14, 2012 #46 Erickb52 said: Pole sana....Mi niko poa naendelea na majukumu ya weekend kama kawaida.... Click to expand... Haya bana, msalimie shostito wangu Amyner.....mwambie nampenda sana!!
Erickb52 said: Pole sana....Mi niko poa naendelea na majukumu ya weekend kama kawaida.... Click to expand... Haya bana, msalimie shostito wangu Amyner.....mwambie nampenda sana!!
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Apr 14, 2012 #47 Kipipi said: Haya bana, msalimie shostito wangu Amyner.....mwambie nampenda sana!! Click to expand... Ok pouwa Kipipi....ila usiwe unapotea sana... Ntamsalimia sana...Karibu sana nyumbani
Kipipi said: Haya bana, msalimie shostito wangu Amyner.....mwambie nampenda sana!! Click to expand... Ok pouwa Kipipi....ila usiwe unapotea sana... Ntamsalimia sana...Karibu sana nyumbani
dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,487 Apr 14, 2012 #48 Kipipi said: Haya bana, msalimie shostito wangu Amyner.....mwambie nampenda sana!! Click to expand... nakutamani sana na kukuwaza pia. mambo yako?
Kipipi said: Haya bana, msalimie shostito wangu Amyner.....mwambie nampenda sana!! Click to expand... nakutamani sana na kukuwaza pia. mambo yako?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 Apr 14, 2012 #49 Hujafumania tu.
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Apr 17, 2012 Thread starter #50 Mamndenyi said: Hujafumania tu. Click to expand... Nani hajafumania tu?