PJ, Lizzy, B52,AMYNER hodiiiiiiiiiii

PJ, Lizzy, B52,AMYNER hodiiiiiiiiiii

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111
Nakaribia karibia mitaa ya kwenu.... sorry hivi Bishanga pia yupo?
 
SS karibu mpaka ndani.. Je, unatumia kinywaji gani?
 
SS karibu mpaka ndani.. Je, unatumia kinywaji gani?

ahsante, mountain dew, red bull, burn, bavaria, juice, alvaro, maji ya kunywa, ginger ale.
 
Dah Kijana mbona umekuja kwa fujo sana?
Lol
Karibu sana.....
Vipi Smile yuko wapi? Naona uko mwenyewe
 
Dah Kijana mbona umekuja kwa fujo sana?
Lol
Karibu sana.....
Vipi Smile yuko wapi? Naona uko mwenyewe

Sio kwa fujo ni kwa ustaarabu mwingi tuuu!! Smile amebaki ana kazi miiingi sana!! naweza onana na AMYner kidogo?
 
Sio kwa fujo ni kwa ustaarabu mwingi tuuu!! Smile amebaki ana kazi miiingi sana!! naweza onana na AMYner kidogo?
Uonane nae wapi wakati amekukaribisha ndani na tuko wote?
Ushaanza tabia za Bagah na Mtei?
 
ahsante, mountain dew, red bull, burn, bavaria, juice, alvaro, maji ya kunywa, ginger ale.

Mgeni una list ndefu..! Naona ushakutana na mwenyeji mkuu.. Feel at home.. I'll leave the two of u to patch things up! (you and ricky..)
 
Mgeni una list ndefu..! Naona ushakutana na mwenyeji mkuu.. Feel at home.. I'll leave the two of u to patch things up! (you and ricky..)
Ok usijali mumy....ila huyu jamaa msumbufu lol
 
Uonane nae wapi wakati amekukaribisha ndani na tuko wote?
Ushaanza tabia za Bagah na Mtei?

ah ah ha kaka, Smile hatacheza mbali usihofu kwa hilo.... naweza kuonana nae pale flame tree restaurant
 
Hahahahahahahahaaaaaaa
Ushahamia kwa Golden Mpoleeeeee
Yuko likizo mtaa wa Miti Mirefu...

Hapana sijahamia huko mie bado niko na Smile tuuu...... yule ni mtani wa jadi akiingia tu hapa anaweza badilisha upepo wa thread!!
 
Back
Top Bottom