Monstgala
JF-Expert Member
- Aug 25, 2009
- 1,079
- 1,034

Wewe utaona kama utani, lakini mimi nakueleza habari za ndani za chama. Chama kimeweka malengo na lazima yatekelezeke kabla ya 2015.
Masaburi hakukosea...

Wewe utaona kama utani, lakini mimi nakueleza habari za ndani za chama. Chama kimeweka malengo na lazima yatekelezeke kabla ya 2015.
Mkuu naona umeweza kuwaelisha watu.haina haja kuendelea kuchangia hoja hii,CLOSEWhat about Jairo? Chenge, Mkapa and other fisadi? Umetumwa kuchangia humu jf. Mla rushwa aliye ndani ya CCM na ana cheo ni ngumu sana kushtakiwa wakati huu wa utawala wa JK.

hivi viongozi hawa ccm wana pepo gani jamani???? yaani hata ule ubinadamu hawana, karibu wote wanaenda makanisani na msikitini sijui wanaenda kuomba nini wakati mioyoni mwao wamejaa ufisadi mtupu. huyu babu msekwa badala ya kustaafu kumbe yeye ndo anaendelea kugawa vitalu vya hifadhi ya ngorongoro, kwa hiyo basi hata hawa wanyama 116 na ndege 16 waliosafirishwa kwenda Qatar yeye atakuwa mhusika mkubwa vinginevyo atusaidie kuwajua waliotorosha hao wanyama....................jamani haya kweli yanayo fanyika hapa tz ni maajabu ya ulimwengu na sijui tutaokolewa na nani hili pepo la ufsadi tz...........kama vile hatuna serikali , jk sijui yuko wapi naadhai hayupo nchini na kama kawaida atakuwa hajui kinachoendelea hapa nchini
Mramba? Yona? niendelee?Inatosha mukuu,ukianza wataja unaweza sahau majukumu mengine maana wako wengi(magamba wote)
hii hoja itakufa haraka sana, subiri bahasha zikianza kutembezwa,
wabunge wanatufanya sisi wananchi kama ATM yao kila wanapoishiwa
wanawatishia watawala nyau wakitulizwa wanatulia kwani ni bajeti ngapi zilipashwa
zisipte lakini zimepita !!!!!!!!
Katika Hali isiyo ya kawaida Makamu Mwenyekiti na CCM na Spika mstaafu Mh.Pius Msekwa amechafuka ndani ya Bunge kama mwenyekiti wa Bodi ya Ngorongoro kujitwalia mamlaka ya kutoa maeneo ya kujenga mahotel ndani ya hifadhi ikiwa ni kinyume na sheria na mamlaka iliyotolewa kutokuruhusu tena uwekezaji ndani ya Hifadhi..Kambi ya Upinzani na CCM wote wamelisema na sijui nini kitakachotokea baada ya Hilo..Atakayesikia lolote basi tuambizane jamvini.

Lazima achukuliwe hatua kali, serikali ya Kikwete hailei rushwa hata kidogo.

Endelea. Yona na Mramba will walk. No case to answer. Mahalu kawashika pabaya. No case to answer. Rostum, Karamagi, Chenge, Lowassa are walking free. Endelea!
Wewe ni mtanzania au mkimbizi?Lazima achukuliwe hatua kali, serikali ya Kikwete hailei rushwa hata kidogo.
Mramba? Yona? niendelee?