Pius Msekwa kushtakiwa? Au ndiyo mnene?

Kama hata huyu mzee sio safi basi, kupata mtu msafi kabisa ndani ya CCM ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!!! Kuna kiongozi mmoja aliwahi kusema " tukianza kuchunguza wasafi hapa tutawapata?" CCM ilrudi ilikotoka, mtindo huu wa kuiga mchezo wa vyama vingine wangeuacha kabisa maana kwa sasa wamejichanganya ile mbaya yani kama ingekuwa ni mechi kiungo kimeshakufa kabisa maana ccm hailewewi kabisa. Wenyewe kwa kwenyewe hawapatani then wapinzani ndiyo wanapiga samba ile kichizi. Kwa kweli CCM JIANGALIENI vinginevyo anzeni kutafuta KANU walipo ili wawaandalie makao ili hapo walipo nanyi muwepo!!!
 
What about Jairo? Chenge, Mkapa and other fisadi? Umetumwa kuchangia humu jf. Mla rushwa aliye ndani ya CCM na ana cheo ni ngumu sana kushtakiwa wakati huu wa utawala wa JK.
Mkuu naona umeweza kuwaelisha watu.haina haja kuendelea kuchangia hoja hii,CLOSE
 
hivi viongozi hawa ccm wana pepo gani jamani???? yaani hata ule ubinadamu hawana, karibu wote wanaenda makanisani na msikitini sijui wanaenda kuomba nini wakati mioyoni mwao wamejaa ufisadi mtupu. huyu babu msekwa badala ya kustaafu kumbe yeye ndo anaendelea kugawa vitalu vya hifadhi ya ngorongoro, kwa hiyo basi hata hawa wanyama 116 na ndege 16 waliosafirishwa kwenda Qatar yeye atakuwa mhusika mkubwa vinginevyo atusaidie kuwajua waliotorosha hao wanyama....................jamani haya kweli yanayo fanyika hapa tz ni maajabu ya ulimwengu na sijui tutaokolewa na nani hili pepo la ufsadi tz...........kama vile hatuna serikali , jk sijui yuko wapi naadhai hayupo nchini na kama kawaida atakuwa hajui kinachoendelea hapa nchini
<br />
<br />
Ujue ata mwizi anapoenda kuiba lazima amwombe Mungu basi wanapoenda kanisani wanamwomba Mungu watakapofisadi wasigundulike vijana kazi mnayo yakuifikisha nchi pahala panapotakiwa iwe kimaendeo
 
Wote tunawajua magamba,kulindana ndiyo sera yao mpya,we subiri tu hutakua kusikia chochote,wakijitahidi sana watamsafisha!
 
hii hoja itakufa haraka sana, subiri bahasha zikianza kutembezwa,
wabunge wanatufanya sisi wananchi kama ATM yao kila wanapoishiwa
wanawatishia watawala nyau wakitulizwa wanatulia kwani ni bajeti ngapi zilipashwa
zisipte lakini zimepita !!!!!!!!

nilisema itakufa na imekufa tena kwa kasi ya ajabu
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Makamu Mwenyekiti na CCM na Spika mstaafu Mh.Pius Msekwa amechafuka ndani ya Bunge kama mwenyekiti wa Bodi ya Ngorongoro kujitwalia mamlaka ya kutoa maeneo ya kujenga mahotel ndani ya hifadhi ikiwa ni kinyume na sheria na mamlaka iliyotolewa kutokuruhusu tena uwekezaji ndani ya Hifadhi..Kambi ya Upinzani na CCM wote wamelisema na sijui nini kitakachotokea baada ya Hilo..Atakayesikia lolote basi tuambizane jamvini.

usishangae JK akamwongezea muda kwa utumishi atakaodai ni wa kutukuka.......................swali kwa mafisadi ni kuwa ni nani amvike paka kengele?????????
 
Nape Nnauye upo hapo kaka. Mwambie huyu nae ajivue gamba.
 
Endelea. Yona na Mramba will walk. No case to answer. Mahalu kawashika pabaya. No case to answer. Rostum, Karamagi, Chenge, Lowassa are walking free. Endelea!
<br />
<br />
Jairo and his cabinet. Mahalu.
 
RaiaMwema ya leo ina madudu mengi zaidi yaliyofanyika Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Hata Zitto wetu alishafuja fedha za Mamlaka hii.
 
Mramba? Yona? niendelee?

Hebu utuambie hawa wote wamechukuliwa hatua gani mpaka sasa??
Hebu tuwe tunafikiria sana....adhabu wanazopata hawa wakubwa si sawa na adhabu anayopata BABU SEYA na wakati wao wamefanya makosa makubwa sana hata kuliko huyu mzee anayeteseka kwenye baridi na giza.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom