malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,897
- 4,660
- Thread starter
- #61
Namaanisha wanasaikolojiaWanasheria tena mkuu [emoji849]
Namaanisha wanasaikolojiaWanasheria tena mkuu [emoji849]
Nimekosea kutype ni wanasaikolojiaWanasheria tena mkuu [emoji849]
Hivi mkuu sehemu hiyo hiyo upande wakulia wa thyroids ambao sehemu ya jicho kuuma nakichwa upande huo huo kuuma au ndo pituitary gland inashidaKufanya mapenzi haina tatizo. Ijapokuwa tatizo lenyewe hupunguza kiwango na hamu ya kufanya mapenzi. Ila pale unapopatwa na hamu na ngoma imesimama, fanya kwa ajili ya faraja yako na mwenzi wako.
Thyroid pia haiambukizwi. Hivyo huna haja ya kuwa na wasiwasi wa kumuambukiza mwenzako.