Pituitary grand huwa inakua na shida?

Pituitary grand huwa inakua na shida?

Iliturn to hypo nkacontact na dokta akanambia niendelee so mwezi wa pili nlipima clinic Tena ikaja normal ila still nkabiwa niendelee nkapunguziwa dozi ila Sasa hivi takriban wiki tatu nakua naskia maumivu upande wa kushoto ktk kifua chini ya ziwa inshort upande wa moyo pia nakua namaumivu yakukereketa mwanzo wa Taya ktk shingo na upande wakulia
Kwanza, pole sana.

Lakini pia, ungeandika bayana umeitumia dawa kwa muda gani? Ulianza lini? Na je, maumivu hudumu kwa muda gani?

Pili, je unasikia maumivu yeyote kwenye moyo?

Ila cha kufahamu tu ni kuwa Hyperthyrodism husababisha maumivu ya shingo yanayokoleza mpaka kwenye taya na hata masikio.
 
Daa umenielewesha vizur sana shukrani maana hata hospital sielekezwi hivi nimwendo wafaster faster tu
Karibu..

Ila kama kuna jambo hulielewi, mwambie daktari akudadavulie. Analipwa kwa ajili hiyo. Anapaswa kukupa majibu ya maswali yako yote.
 
Siunajua Tena hospital za serikali Tena mloganzila clinic ya sukari wagonjwa wengi kweli Sasa daktar niwanasikiliza mgonjwa juu juu
 
Karibu..

Ila kama kuna jambo hulielewi, mwambie daktari akudadavulie. Analipwa kwa ajili hiyo. Anapaswa kukupa majibu ya maswali yako yote.
Mkuu hivi multnoduler goiter inauhusiano nakukosa hamu kabisa ya tendo la ndoa pia kuishiwa nguvu zakiume ziko chini sana yaan nikiweka kupampu mara tatu imelala au inasimama hata kabla hujaweka ukeni inalala
 
Kabla sijakujibu Una ugonjwa wa kisukari?
 
Ndiyo hupata shida. Na tatizo hutegemeana na jinsia pamoja na ukubwa wa tatizo lenyewe.

Zaidi, huweza kusababisha kisukari, kushindwa kusimamisha na uzalishaji wa mayai na mbegu, kupunguza uzalishaji wa maziwa (unyonyeshaji), uzito uliopindukia na mambo mengine mengi.

Pituitary gland ndo tezi kuu. Ina kazi kubwa sana mwilini. Athari hutegemeana na aina ya tatizo kwenye tezi husika.

Wahi hospitali kwa uchunguzi zaidi.
Huyu jamaa ni muongo
 
Kwanza, pole sana.

Lakini pia, ungeandika bayana umeitumia dawa kwa muda gani? Ulianza lini? Na je, maumivu hudumu kwa muda gani?

Pili, je unasikia maumivu yeyote kwenye moyo?

Ila cha kufahamu tu ni kuwa Hyperthyrodism husababisha maumivu ya shingo yanayokoleza mpaka kwenye taya na hata masikio.
Nimeanza kutumia dawa mwezi wakumi mwaka Jana
Pia hizi wiki mbili nimekua nikisikia maumivu upande wa moyo..usawa wa ziwa ila nyuma uku ya mgongo na hata usawa chini ya ziwa

Pia maumivu mwanzo wa shingo juu kulia inapoanzia taya
 
Mkuu hivi multnoduler goiter inauhusiano nakukosa hamu kabisa ya tendo la ndoa pia kuishiwa nguvu zakiume ziko chini sana yaan nikiweka kupampu mara tatu imelala au inasimama hata kabla hujaweka ukeni inalala
Ndiyo. Ina uhusiano.

Goiter ni matokeo tu. Ila tatizo halisi lipo kwenye thyroid. Husababisha premature ejaculation au kushindwa kusimamisha kabisa.
 
Nin solution yake hapa nazid kuishiwa nguvu zakiume
 
Na thyroid ikiwa na noddles vip..alafu hiyo goiter inakua ktk hiyo thyroids au
 
Nin solution yake hapa nazid kuishiwa nguvu zakiume
Pole Mkuu..

Tatizo la thyroid likitamatika (hypo au hyper) basi mambo hujirudi. Tumia dawa kwa uangalifu na ukipona tu, tatizo nalo linaisha. Tumia lishe bora.
 
Dawa za thyroids huwa zinatumika kwa mda Gani nimiez 8 Sasa natumia dawa...naje nitumie lishe gani
 
Hutegemea ni kiwango cha dozi unachotumia kila siku. Je, ni mg 10 au 20 au 40?

Lakini mara nyingi ni zaidi ya miezi 15.
 
Back
Top Bottom