Pituitary grand huwa inakua na shida?

Pituitary grand huwa inakua na shida?

Pia masuala ya body size ndio huamua uwe mfupi ama mrefu
 
Hivi ndizi mbovu na wali naruhusiwa kula kwa mgonjwa wa thyroids
Mbovu? Usile, chakula chochote kibovu ni hatari kwa mustakabali wa afya.

Kama ulimaanisha ndizi mbivu, usiwe na shaka kabisa. Kula tu wala usijali. Hazina madhara yoyote kiafya kwa mtu mwenye Thyroids.

Wali pia hauna shida. Epuka tu vyakula vya mafuta na nyama kwa wingi.
 
Wewe jamaa unaumwa,lakini pia inaonekana unahitaji msaada mkubwa wa kisakolojia. Kila dakika unapandisha uzi
 
Mbovu? Usile, chakula chochote kibovu ni hatari kwa mustakabali wa afya.

Kama ulimaanisha ndizi mbivu, usiwe na shaka kabisa. Kula tu wala usijali. Hazina madhara yoyote kiafya kwa mtu mwenye Thyroids.

Wali pia hauna shida. Epuka tu vyakula vya mafuta na nyama kwa wingi.
Nilimaanisha ndizi mbovu...nyama yenyewe nimeacha kula
 
Nyama achana nazo ndiyo.

Ndizi mbovu huwa unakulaje?
Imebidi nianzishe utaratibu kama wa fasting hivi nakula jion saa moja hapa mchana na asubuh sili au nikila asubu mchana sili usiku nakula kidgo sana vip hii imekaaje
 
Nikweli kabisa Wala hujakosea mkuu
Mi ningekushauri u relax mkuu,pigania afya yako kwanza juu ya ugonjwa unao kusumbua. Usiwaze masuala ya sexual kwa sasa,jipe muda kwanza..naamini hata mkeo atakuelewa.
Pili tafuta mwanasaikolojia,akusaidie kurejesha confidence yako iliyo potea.
 
Imebidi nianzishe utaratibu kama wa fasting hivi nakula jion saa moja hapa mchana na asubuh sili au nikila asubu mchana sili usiku nakula kidgo sana vip hii imekaaje
Fasting ni jambo jema sana kiafya. Inaimarisha mambo mengi mno.

Lakini isiwe kwa kiwango cha kusorotesha afya yako. Asubuhi kula ushibe, ile shibe ya kitajiri 🤣

Sina hakika na fasting inavyoathiri swala la thyroid. Lakini ninaamini ina positive impact ndani ya mwili.
 
Mi ningekushauri u relax mkuu,pigania afya yako kwanza juu ya ugonjwa unao kusumbua. Usiwaze masuala ya sexual kwa sasa,jipe muda kwanza..naamini hata mkeo atakuelewa.
Pili tafuta mwanasaikolojia,akusaidie kurejesha confidence yako iliyo potea.
Mke haelewi kabisa nikama anaona mzima maana sijalazwa nafanya kazi zangu kama kawaida....pia kiukweli comfidance ilishapotea kabisaa maana hata mke akitaka tendo nawaza sana ntamtimizia sio kwamba uume haisimami yaan nkilala nkiamka kukojoa ngoma Iko mnara ila tu wakat mke akitaka sex baas ngoma uume utasimama kidgo nakulala kabla yakuingia ukeni au ukiwa ukeni nshapampu mara nne ukilala ndio bas Tena...huyo mwanasaikolojia mbobezi kama yupi nimefikiria kumtafuta Dr Elly vd waminiani
 
Fasting ni jambo jema sana kiafya. Inaimarisha mambo mengi mno.

Lakini isiwe kwa kiwango cha kusorotesha afya yako. Asubuhi kula ushibe, ile shibe ya kitajiri [emoji1787]

Sina hakika na fasting inavyoathiri swala la thyroid. Lakini ninaamini ina positive impact ndani ya mwili.
Nimekuelewa sana boss...vip ngono ni sahihi kwa mgonjwa wa thyroids
 
Mke haelewi kabisa nikama anaona mzima maana sijalazwa nafanya kazi zangu kama kawaida....pia kiukweli comfidance ilishapotea kabisaa maana hata mke akitaka tendo nawaza sana ntamtimizia sio kwamba uume haisimami yaan nkilala nkiamka kukojoa ngoma Iko mnara ila tu wakat mke akitaka sex baas ngoma uume utasimama kidgo nakulala kabla yakuingia ukeni au ukiwa ukeni nshapampu mara nne ukilala ndio bas Tena...huyo mwanasaikolojia mbobezi kama yupi nimefikiria kumtafuta Dr Elly vd waminiani
Pole mkuu, naelewa situation unayo pitia. Najua kuna time hutamani hata kurudi home. Wanasaikolojia wapo mkuu,naweza kukulink nao.. labda mshindwane kwenye gharama,maana unalipia kwa session. Hakuna dawa,ni physiotherapy pekee baada ya kuwa assessed.
 
Nimekuelewa sana boss...vip ngono ni sahihi kwa mgonjwa wa thyroids
Kufanya mapenzi haina tatizo. Ijapokuwa tatizo lenyewe hupunguza kiwango na hamu ya kufanya mapenzi. Ila pale unapopatwa na hamu na ngoma imesimama, fanya kwa ajili ya faraja yako na mwenzi wako.

Thyroid pia haiambukizwi. Hivyo huna haja ya kuwa na wasiwasi wa kumuambukiza mwenzako.
 
Pole mkuu, naelewa situation unayo pitia. Najua kuna time hutamani hata kurudi home. Wanasaikolojia wapo mkuu,naweza kukulink nao.. labda mshindwane kwenye gharama,maana unalipia kwa session. Hakuna dawa,ni physiotherapy pekee baada ya kuwa assessed.
Nilink nao hao wanasheria
 
Kufanya mapenzi haina tatizo. Ijapokuwa tatizo lenyewe hupunguza kiwango na hamu ya kufanya mapenzi. Ila pale unapopatwa na hamu na ngoma imesimama, fanya kwa ajili ya faraja yako na mwenzi wako.

Thyroid pia haiambukizwi. Hivyo huna haja ya kuwa na wasiwasi wa kumuambukiza mwenzako.
Kupunguza hamu yakufanya mapenz...vip je haipunguzi nguvu zakiume labda... naje Kuna namna ya kuongeza hamu kiasili hata kama unathyroids
 
Back
Top Bottom